Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

2GR stock inacheza 300+hp..Kumaliza hiyo dashboard ni kazi nyepesi sana kwake..!
Subaru itakuwa faster mwanzoni.. Ila ikifika 200 kwenda 260 Subaru haiwezi kupambana.. Zile 2 extra cylinders za 2GR ndio zinakick in..!
Hizo 2 extra cylinders zinakuwa deactivated toka mwanzo?
 
Gari yenye turbo ni sawa na Mwanamke mwenye maumbile kwa kutumia dawa.. Tofauti na (NA) Mwanamke mwenye shepu OG..
Kupata 300hp turbo iwe nzima kweli kweli..kuna lags..
Tofauti na NA hiyo power ipo already kwenye engine..
2500cc 4 cylinders vs 3500cc 6 cylinders hapo no match kwenye top end.. Engine ya Subaru itascream sana kumaintain 260 wakati 2GR bado anapuff..!
Power to weight sijazingatia.. Ila nahisi ni propaganda za watengenezaji..
Siku hizi tech imepunguza turbo lag inakaribia almost sawa na NA.

Unaweza usione utofauti.
 
Sure hapo umetisha sana..

Sasa kwenye power to weight ratio ni propaganda kutokana na hii..
Suzuki Samurai SJ413 G13B 1300cc ina 69 hp weight yake 960kgs..
Scania 360hp ina weigh 9000kgs..
Kwa mahesabu ya hp/weight Suzuki Samurai ni powerful..!
Nguvu ya gari ni kwenye Torque.. HP ni marketing propoganda..!

Landcruiser LC200 1VDFTV haifiki hata 300hp.. Ambazo Subaru na Crown wanazo..
Torque ni kwenye milima na kubeba mizigo.

Hp ni tambarare kwenye acceleration.

Hizo LC200 zinakalishwa vizuri sana na gari zenye HP kubwa kuwazidi.
 
Hizo 2 extra cylinders zinakuwa deactivated toka mwanzo?
Haziwi deactivated.. Kinachotokea ni hiki..
Ukiwa na more cylinders kwa same displacement.. Utakuwa na smaller and lighter pistons.. Ambazo ni rahisi kurev.. Kwahiyo utaongezea redline na kupata power kwenye higher rpms..engines za F1 ni 1600cc tuu ila six cylinders.. Ndio maana zinarev mpaka 10k rpms..
Angalia pistons za 1G(six) 2000cc na pistons za 3S(four) 2000cc..!
Engines zenye cylinders chache kwenye high rpms hazina puff..!
 
Torque ni kwenye milima na kubeba mizigo.

Hp ni tambarare kwenye acceleration.

Hizo LC200 zinakalishwa vizuri sana na gari zenye HP kubwa kuwazidi.
Torque ndio kila kitu.. Uwezo wa gari..!
Acceleration
Tambarare
Torque ndio yenyewe.. Horsepower ni marketing strategy tuu..
Bmw e34 540i 282hp/400Nm ina accelerate haraka kuliko e34 M5 3.6 315hp/360Nm 0 to 100kph..! 400Nm kwenye hii V8 ya BMW sio mchezo.. Ukiweka gari kwenye 3rd gear ukapush pedal ni kama unapaa..!

LC200 ni Haile Gebrselassie.. Inauwezo wa kwenda hapa na kwenye moon bila sweating..!
 
Aaah aaah aaah watu wa alteza wanajisahau saana... Wanahusi sport car na kelele mingi ndio wamemaliza....

Juzi tu nimetoka kujambisha mtu. Ana alteza mi nilikuwa na brevis kati kati ya jiji. Ila kamata rufaa anasema tutafute safari... Nimemuambia mi sio mtu wa maspeed.
Sio kila altezza ni soft meat mkuu nyingine ni nyama ngumu
 
Torque ndio kila kitu.. Uwezo wa gari..!
Acceleration
Tambarare
Torque ndio yenyewe.. Horsepower ni marketing strategy tuu..
Bmw e34 540i 282hp/400Nm ina accelerate haraka kuliko e34 M5 3.6 315hp/360Nm 0 to 100kph..! 400Nm kwenye hii V8 ya BMW sio mchezo.. Ukiweka gari kwenye 3rd gear ukapush pedal ni kama unapaa..!

LC200 ni Haile Gebrselassie.. Inauwezo wa kwenda hapa na kwenye moon bila sweating..!
Torque inaendana na Horsepower mkuu lazima vishabihiane
 
Haziwi deactivated.. Kinachotokea ni hiki..
Ukiwa na more cylinders kwa same displacement.. Utakuwa na smaller and lighter pistons.. Ambazo ni rahisi kurev.. Kwahiyo utaongezea redline na kupata power kwenye higher rpms..engines za F1 ni 1600cc tuu ila six cylinders.. Ndio maana zinarev mpaka 10k rpms..
Angalia pistons za 1G(six) 2000cc na pistons za 3S(four) 2000cc..!
Engines zenye cylinders chache kwenye high rpms hazina puff..!
Unamaanishaje mkuu hapo kwenye upungufu wa cylinders na rpm? Sijakupata. Maana gari inaweza ikawa na cylinder chache ila zikawa kubwa kuliko mwenye cylinders nyingi. Kwa mfano hapo kwenye altezza iko hivi; Yenye 3s ina cylinders 4 ila ina cc 1990 hivyo ina piston kubwa kuliko altezza yenye injini ya 1g ambayo ina cylinders 6 ila ina cc 1980, hii tofauti inonekana kuanzia kwenye mwendo mpaka ulaji wa mafuta 3s inatembea na inabugia wese kuliko 1g.
 
Torque inaendana na Horsepower mkuu lazima vishabihiane
Torque ndio inazaa hp. In simple logic Tuchukulie mfano vioo vya gari enzi zile kabla power window hazijaja ukizungusha kile kipandisha kioo ndiyo torque, kasi ya kioo kupanda ndiyo horsepower hivyo kasi yako ya kunyonga kipandisha kioo ikiwa kubwa (ambayo ni sawa na torque) ndio itapelekea na kioo kupanda haraka (ambayo ni sawa na horsepower) ndio maana nasema vinashabihiana. Hivyo mkuu hp sio propaganda ni lazima unapozungumzua ufanisi (torque) uzungumzie na mafaniko (hp)
 
Unamaanishaje mkuu hapo kwenye upungufu wa cylinders na rpm? Sijakupata. Maana gari inaweza ikawa na cylinder chache ila zikawa kubwa kuliko mwenye cylinders nyingi. Kwa mfano hapo kwenye altezza iko hivi; Yenye 3s ina cylinders 4 ila ina cc 1990 hivyo ina piston kubwa kuliko altezza yenye injini ya 1g ambayo ina cylinders 6 ila ina cc 1980, hii tofauti inonekana kuanzia kwenye mwendo mpaka ulaji wa mafuta 3s inatembea na inabugia wese kuliko 1g.
Yes upo sawa.. ndio nilichosema.. Cylinders chache kwa same displacement itabidi uwe na pistons kubwa na nzito.. Ambazo zinakua ngumu kurev kama pistons nyepesi.. Kwahiyo kwenye higher rpms cylinders chache inakuwa inakata puff mapema tofauti na yenye cylinders nyingi..!
 
220kph.. Nilifuta kisahani cha nissan xtrail, yd 22 mzigo gear 6,nikafuta 180kph nissan patrol td 42.
Ila si kwa umbali mrefu saana, nafsi ilinishitua nisilete wenge music,likitokea la kutokea watanizika kwa kukusanya mabaki ya nyama. [emoji23]
Kwa td42 kavu kufuta kisahani labda ilikuwa mteremkoni maana hiyo na 1hz zinafanana,nissan itakachozidi ni kulala konani na speed kubwa kuliko 1hz.

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Torque ndio kila kitu.. Uwezo wa gari..!
Acceleration
Tambarare
Torque ndio yenyewe.. Horsepower ni marketing strategy tuu..
Bmw e34 540i 282hp/400Nm ina accelerate haraka kuliko e34 M5 3.6 315hp/360Nm 0 to 100kph..! 400Nm kwenye hii V8 ya BMW sio mchezo.. Ukiweka gari kwenye 3rd gear ukapush pedal ni kama unapaa..!

LC200 ni Haile Gebrselassie.. Inauwezo wa kwenda hapa na kwenye moon bila sweating..!
X5 50d yenye 400hp na 900 nm ina accelerate faster kuliko X5 50i yenye 550hp na 700nm?

Nina uzoefu na baadhi ya gari za diesel na petrol. Ninapokwambia torque ni kwenye milima na kubeba mizigo najua ninachosema.

Ndo nasikia kwako leo.
 
Kuendesha kwa speed ni umakini na kutoa uoga tu bhandugu, niliwahi kuikalisha vx amazon mimi nikiwa na verosa nimenyoosha guu 180 jamaa kapotea😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom