Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Hizo 2 extra cylinders zinakuwa deactivated toka mwanzo?2GR stock inacheza 300+hp..Kumaliza hiyo dashboard ni kazi nyepesi sana kwake..!
Subaru itakuwa faster mwanzoni.. Ila ikifika 200 kwenda 260 Subaru haiwezi kupambana.. Zile 2 extra cylinders za 2GR ndio zinakick in..!