AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa.
Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili vya kwanza na kitu cha kwanza ni kusema uongo cha pili ni ukweli na cha tatu nimesema nitataja viwili kwa hio tuachane na cha tatu.
Cha kwanza ni bia. Hata uniamshe saa 7 usiku twende tukanywe bia nitakuja na usingizi wangu tutakunywa na nitarudi kulala km nilikua macho sijalala. Ndio ni bia.
Cha pili kukunyoa upara yaan cross dongo kukupiga kitu kichungu kichwani. Mimi sio kinyozi wala sijasomea kunyoa ila ukiniambia hata nikiwa usingizi nimefumba macho nimelala kabisa hivi umenikurupusha saa 7 usiku nikutolee dongo asee linatoka para safi na nahakikisha sikuchubui hata kidogo. Hutojutia kabisa kunyolewa upara na kipofu maana sitokuangalia mimi natembeza wembe tu na sikosei.
Cha tatu nimesema sitokisema leo kwa hio nasimamia palepale. Ila ukimiamsha saa 7 usiku ukinambia washa ndinga hio hapo tunatembea umbaali mrefu kwanza itanibidi niamke maana siwezi nikaendesha gari nikiwa nimelala.
Niambie wewe hapo sasa eeh. Ni kitu gani hata ukiwa usingizini umelala zako ukiambiwe ufanye unaweza kufanya bila shida yoyote na haukosei.
Nakusikiliza.