Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Cute wife.....
ALIVYO niona aliwaka ila mwisho alizima,
Bana niliomba mechi akanipatia mtima,
Yaani niliomba nusu akanipatia nzima,
Safari ilianzia Mwanza naimalizia China. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Woyooooooo!!!! Ongeza mistari mingine bas
 
Taja magari ya kazi unayoyajua
1: Land cruiser pick up
2: Land rover Diffender
3' Ford Raptor
4: Ram F-1500 TRX
5' Chevrolet Silverado
6: Suzuki carry(Vijana wa Arusha)

Hivi kweli unaweza kuulizwa wafanya hio hop bora Afrika ukamtaja Joh Makini? Hii si kuharibu uzi wa mtu?
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Woyooooooo!!!! Ongeza mistari mingine bas
Ukweli ni kwamba ushamba umwamba,
Najua kila mbuzi anakula urefu wa kamba,
Namjua hadi mbuzi anaekula tunda na ganda,
Najua juzi ulienda casino na Amber,
Wembamba wa reli ila treni inapita,
Unadanga kwenda tanga na pipa,
Pedeshee wanakita na mnapiga mapicha,
Kuuliza mi ni nani unasema you're my sister. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuendelee iko bombaaa
 
Young Killer
The real FID Q
Khaligraph

Bado sijaona wana hip hop wakali kuliko hao jamaa, huyo Killer ni mbwa sana maamaezake hafai ata kidogo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuendelee iko bombaaa
Sasa si uje ghetto tu nikuimbie vizuri, uta enjoy Sana dear wangu 😍❀️🀀🀀😍😍
 
Cute Wife unamuona tolu lakini. ?
 
Kwani Tanzania Kuna HIP HOP au HOP HIP πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…