Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Ukiona anabebwa ujue anabebeka wangapi wamebebwa na wameshindwa kujishikilia.. Joh ajahit mawingu pekee nimeanza kumjua Joh Makini wakati ambao sijui Clouds maana ilikuwa haishiki kwetu Namtumbo.

Dah! Bro unatumia kinywaji gani kikusindikizie jpili yako murua…….umenifurahisha sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii stail tofauti itell angalia pengone,,,
Flow zangu za moto kwa testa mwana usipime...

Naona kwenye game kuna dogo anaingia..
Sijui nani hata hodi da ajatupigia.

[emoji419][emoji375] NAKAZIA
Intelli majibu yako tyr [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hiyo kawaida anakuona km me mwenzie tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi nilikuwa na best yangu watu walikua wanahisi natoka nae, kumbe wala!! Akinitongoza najua tunaendeleza utani, mpk alivyooa huyo dem nilimkuwadia mwenyewe!!
Mjinga yulee😂🤣🤣, eti sogea tulale hapo😂🤣🤣.
👉Kuna siku alikuwa Yuko duty night, aka nipigia simu, oya we kenge niletee blanketi lako Kuna baridi huku🤣😂😂 Cute Wife
 
Mjinga yulee[emoji23][emoji1787][emoji1787], eti sogea tulale hapo[emoji23][emoji1787][emoji1787].
[emoji117]Kuna siku alikuwa Yuko duty night, aka nipigia simu, oya we kenge niletee blanketi lako Kuna baridi huku[emoji1787][emoji23][emoji23]

Ungemla kukazia urafiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo upo sahihi, fid q ni master na legend was hip hop.
👉Ukiwataja wakali, lazima fid awemo, ila huyo joh hata kwa langa hafiki
Joh huwa sisikilizi nyimbo zake. Hazina akili. Ni nyimbo nyepesi sana. Sema anapewa promo na Arusha nzima. But level zake sure ni akina Langa. Hawezi simama na Fid Q hata kwa dk moja ulingoni. Ni weights tofauti. Fid ni heavy weight wakat Joh Makini ni Fly Weight.
 
Nah nina marafiki kibao was kike, je unaweza Wala wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji117]iko hivi mwingine ana penda tu mkiwa marafiki, au ukaribu wako tu.
[emoji117]Na sio utake advantage, kisa Umeona Hapa nakubaliwa Sana[emoji848].

Tatizo huyo anakutega sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anajizima data mno, inatakiwa umuwashie wiFi
 
Can't believe I really came home with a Grammy
I was in the mansion celebratin' with the family
You don't come from where I'm from, you may not understand me
Obviously I never cared about your understandin'
Got the biggest honor from Port Harcourt City
Whole time I was there, I was just looking at my daddy
Felt like nothin' else seeing him as proud as he can be
I get emotional when I talk about my daddy.....

burna boy ft polo g- want it all

Intelligent businessman
 
Can't believe I really came home with a Grammy
I was in the mansion celebratin' with the family
You don't come from where I'm from, you may not understand me
Obviously I never cared about your understandin'
Got the biggest honor from Port Harcourt City
Whole time I was there, I was just looking at my daddy
Felt like nothin' else seeing him as proud as he can be
I get emotional when I talk about my daddy.....

burna boy ft polo g- want it all

Intelligent businessman
Dogo Hapa tuna zungumziwa- wazee was kukaza, sio hao waimba taarabu🤣😂
 
Back
Top Bottom