Haya majibu yako inasikitisha sana kama huu ndio uwezo wa vijana wetu safari ni ndefu hatuwezi kufika.Wanaweza kukubaliana au kuassume uongo alafu wapenzi wake wakaona ni kweli.
Mfano hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa maandiko ya tabia nchi yanasababishwa na uchafuzi wa mazingira na hewa ukaa.
Pia hawawezi kuthibitisha miujiza scientically hata kama imefanyika mbele ya macho yao.
Usijali utapata majibuKama wapo humu wanasayansi wa unajimu na sayari,waje watuambie kuna distance au umbali wa uniti ngapi kutoka nyuzi moja ya longitude mpaka nyuzi nyingine
Kwa mfano tunaambiwa kila baada ya nyuzi moja mda wake utakuwa ni dakika nne au kila baada ya nyuzi 15 mda wake ni lisaa limoja
Sasa katika distance je kuna uniti ngap au km ngapi kwa kila baada ya nyuzi kumi na tano?
Mkuu fungua upeo wakoukicheki historia ya sayansi utagundua mambo mengi sana yalifafanuliwa kimakosa kuanzia umbo la dunia hadi magonjwa. Kwahiyo kunauwezekano mkubwa mambo ambayo sana tuna uthibitisho wa kisayansi kuyahusu bado yana makosa mengi.
Unaweza kuweka majibu yako ya kizee mkuu. Hicho nilichokiandika namaanisha na kuna utetezi.Haya majibu yako inasikitisha sana kama huu ndio uwezo wa vijana wetu safari ni ndefu hatuwezi kufika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kitu kinaitwa "Godel's Incompleteness Theorem".
Halafu soma kitabu cha Karl Popper "The Logic of Scientific Discovery".
Hiyo ni homework yako.
Pia, dhana nzima ya "kitu kisicho kasoro" ni kasoro ya kifikra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kitu kinaitwa "Godel's Incompleteness Theorem".
Halafu soma kitabu cha Karl Popper "The Logic of Scientific Discovery".
Hiyo ni homework yako.
Pia, dhana nzima ya "kitu kisicho kasoro" ni kasoro ya kifikra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipi kilicho na uhalisia kisichoendeshwa na kuwa na chimbuko katika dhana?Nakukumbusha bro,tofauti yangu na yako ni kuwa wewe unaendeshwa na dhana kadhalika kuabahatisha huku mimi naendeshwa na uhalisia wa mambo.
Sasa nakuuliza swali je binadamu amekamilika ? je binadamu ni nani
Kwenye kitu chenye kasoro.Hii dhana ya kusema "Kitu kisicho kasoro" umeipata wapi bro ?
We unaona ulichokileta kina akili kweli..?! Umepitia maandiko mangapi ndo ukaja na hilo andiko lako. Maana wenzio wanasayansi huwa hawaleti tu mapungufu bila ya kuangalia wenzao wamefikia wapi kwenye hilo pungufu..! Je ulijisumbua kusoma?! Mmoja ya watu wanaokubaliana na wewe wanasema "Gravitational force haijawa proved" wewe unasemaje? Unakubaliana nao? Wanzako wanasema maana ya Theory ni sawa na Scientific theory wewe unasemaje?! Unakubaliana nao? Na nikusaidie kitu, mada uliyoleta ipo very broad na inaonekana wazi hujaganya utafiti wa kutosha. Nenda kasome ndo urudi hapa.Ili mwisho iwaje ?
sawa tuchukulie hivyo kuwa scientific theory na scientific proof ni sawa
ni wapi ilipotokea kuwa gravity was tested and observed and repeated
where in the history of the world that happened to test water and everything get stuck in the outside of the rock that is suspended in gravity,thats the earth
Kwenye kitu chenye kasoro.
Unaweza kutaja kitu kimoja kinachoweza kuthibitika kwamba hakina kasoro?
Sent using Jamii Forums mobile app
We unaona ulichokileta kina akili kweli..?! Umepitia maandiko mangapi ndo ukaja na hilo andiko lako. Maana wenzio wanasayansi huwa hawaleti tu mapungufu bila ya kuangalia wenzao wamefikia wapi kwenye hilo pungufu..! Je ulijisumbua kusoma?! Mmoja ya watu wanaokubaliana na wewe wanasema "Gravitational force haijawa proved" wewe unasemaje? Unakubaliana nao? Wanzako wanasema maana ya Theory ni sawa na Scientific theory wewe unasemaje?! Unakubaliana nao? Na nikusaidie kitu, mada uliyoleta ipo very broad na inaonekana wazi hujaganya utafiti wa kutosha. Nenda kasome ndo urudi hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unaona ulichokileta kina akili kweli..?! Umepitia maandiko mangapi ndo ukaja na hilo andiko lako. Maana wenzio wanasayansi huwa hawaleti tu mapungufu bila ya kuangalia wenzao wamefikia wapi kwenye hilo pungufu..! Je ulijisumbua kusoma?! Mmoja ya watu wanaokubaliana na wewe wanasema "Gravitational force haijawa proved" wewe unasemaje? Unakubaliana nao? Wanzako wanasema maana ya Theory ni sawa na Scientific theory wewe unasemaje?! Unakubaliana nao? Na nikusaidie kitu, mada uliyoleta ipo very broad na inaonekana wazi hujaganya utafiti wa kutosha. Nenda kasome ndo urudi hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipi kilicho na uhalisia kisichoendeshwa na kuwa na chimbuko katika dhana?
Kuna kipi kilichokamilika, kisicho na kasoro au mapungufu ambacho unaweza kukithibitisha hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema kifo hakiendeshwi kwa dhana, unajua hiyo ni dhana?Daah,vipo vingi sana ambavyo haviendeshwi kwa dhana. Hivi kwanza kabla sijaendelea unajua nini maana ya dhana ?
Hivi ushawahi kukuta uhalisia ukaenda sambamba na dhana ?
Mambo yaliyo na uhalisia yasiyoendeshwa na dhana ni njaa,kifo,kulala,kuamka,kula,kupika,kutembea, na mengine kadha wa kadha.
Naona pia hujajua unapotumia kauli "Kuna kipi...". Bro sikufichi kauli hii inakufunga pakubwa sana na hata ukitaka kutafuta pakutokea utashindwa. Sasa jaribu kwanza kufikiri kabla au unapotaka kutumia kauli hiyo,sababu kipi bila shaka ni kitu.
Sasa unapojaribu kuyapa dhamiri ya kitu majambo. Lazima ujue pia kinyume kipoje.
Tuendelee na mjadala.