Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

Unaposema kifo hakiendeshwi kwa dhana, unajua hiyo ni dhana?

Kifo cha nani?

Unaelew kwamba si dhana zote ziko tofauti na uhakisia?

Unaelewa kwamba juna dhana zilizo mzizi wa uhalisia?

Nikikwambia jua litaonekana kuchomoza kesho, hiyo ni dhana au uhalisia?

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua nilipokuuliza unajua nini maana ya dhana ,sababu niliona udhaifu juu ya tamko hili.

Tamko dhana kilugha ina maana moja ila kiistilahi ina maana kutokana na matumizi. Na maana ya kilugha ndio hua inakuwa pana zaidi.

Almuhimu dhana ni kutokuwa na uhakika wa jambo fulani,aidha kuwepo kwake,kutokea kwake,maana yake,uhalisia wake yaani kwa ufupi shaka.

Sasa unaposema kifo ni dhana ,itabiti utithibitishie ya kuwa kivipi kifo ni dhana. Kwa mtazamo wako kutokana na mtiririko hoja zako unakurubisha maana ya dhana kama wazo au kanuni fulani iliyojengeka kutokana na misingi fulani sasa uelewa huu si sahihi.

Mjengeko wa sentensi yako ya mwisho haujakaa sawa kwa mujibu wa sarufi ya au kanuni za sarufi ya kiswahili,sasa iweke vyema kisha nikupe maelezo yake.
 
Kitu chochote unachoweza kukifikiria kina dhana, ndiyo hiyo unayoifikiria kichwani, unaelewa hilo?

Huwezi kuwa na kifo kichwani mwako, una dhana ya kifo kichwani mwako, ndiyo maana hata ukiwa umekaa chumbani kwako, hakuna mtu aliyekufa, unaweza kufikiria kuhusu kifo, kwa sababu unaweza kuwa na dhana ya kifo kichwani mwako,unaelewa hilo?

Ndiyo maana hata ukiona ndege ambaye humjui anatoka damu, hujawahi kuona ndege huyu akifa, lakini unaweza kudhani kwamba ndege huyu akikosa msaada na kuendelea kutoka damu atakufa.

Unaweza kufikiri hivyo kwa sababu unaelewa dhana ya kifo.

Unaelewa hilo?
 
Unaposema kifo hakiendeshwi kwa dhana, unajua hiyo ni dhana?

Kifo cha nani?

Unaelew kwamba si dhana zote ziko tofauti na uhakisia?

Unaelewa kwamba juna dhana zilizo mzizi wa uhalisia?

Nikikwambia jua litaonekana kuchomoza kesho, hiyo ni dhana au uhalisia?

Sent using Jamii Forums mobile app

"Nikikwambia jua litaonekana kuchomoza kesho".

Sentensi hii ulitakiwa kuiandika hivi " Nikikwambia jua litachomoza kesho".

Hii sio dhana huu ni uhalisia,na kweli kesho jua laIma lichomozs,sababu limeshawekewa taratibu na aliye liumba na kamwe halikiuki taratibu hiyo.

Yaani kesho jua lazima litachomoza hiyo ni hakika hali wa shani,ukweli uko hivyo.
 
Kitu chochote unachoweza kukifikiria kina dhana, ndiyo hiyo unayoifikiria kichwani, unaelewa hilo?

Huwezi kuwa na kifo kichwani mwako, una dhana ya kifo kichwani mwako, ndiyo maana hata ukiwa umekaa chumbani kwako, hakuna mtu aliyekufa, unaweza kufikiria kuhusu kifo, kwa sababu unaweza kuwa na dhana ya kifo kichwani mwako,unaelewa hilo?

Ndiyo maana hata ukiona ndege ambaye humjui anatoka damu, hujawahi kuona ndege huyu akifa, lakini unaweza kudhani kwamba ndege huyu akikosa msaada na kuendelea kutoka damu atakufa.

Unaweza kufikiri hivyo kwa sababu unaelewa dhana ya kifo.

Unaelewa hilo?

Bro ! Unaudhaifu mkubwa sana katika lugha. Unayosema si kweli. Tatizo la watu kama nyiw ni udhaifu wenu wa kuelezea mambo.

Bro,unajua dhana ni nini ? Nataka nikusaidiedie kwa kukupa mifano katika matumizi ya neno dhana katika maisha yetu ya kila siku,ili ujue wapi linatumika na wapi halitumiki.
 
Sitaki kukupa jibu langu tu.

Nimefungua kitabu. Kinaitwa "Kamusi Kuu ya Kiswahili", Baraza la Kiswahili la Taifa, Longhorn toleo la 2015.

Ukurasa wa 167

Dhana

a. Wazo lisilo bayana

b. fikra alizonazo mtu kichwani

Fikra, wazo, hisia, taamuli, tafakuri

Unataka kubishana na kamusi?
 
Bro nipo humo humo tatizo huelewi,sa

sasa nataka ujihukumu mwenyewe kwa yale uliyoyaandika hapo nyuma,chagua maana yoyote ubayoitaka kisha uoanishe na kile ulichokiandika hapo nyuma.

Halafy nitakupa ni ipi asili ya tamko dhana,na wenyewe huwa wanalitumia vipi.
 
Unakubalikwamba wazo la kifokichwani mwa mtu ni dhana?
 
ndege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo

Ungalijua kuwa Qur'an aliyofunuliwa Muhammad (saw) imejaa sayansi na waanzilishi wa sayansi ya leo walikuwa ni wafuasi wa Muhammad (saw) wala usingaliongea kasha kama hiyo, unatakiwa usome historia badala ya kutoa kashfa kwa hao watakatifu ambao dunia leo inawapa heshima kubwa kwa yale waliyofanya kuleta ustaarabu duniani.
 
usinitajie vichekesho vya sayansi ya kwenye quran
eti vimondo ni mabomu anayotumia allah kumpiga shetani asiingie mbinguni
jua linazama kwenye bwawa la maji
acha utani aisee
 
Sayansi imeshindwa jambo moja la msingi sana ambalo ni
1. KUHAISHA.
Sayansi imeshindwa kutengeneza Uhai, iwe wa mnyama au mmea.
Hii inaonesha Mwanadamu sio zao la Sayansi.
Hii inaonesha Sayansi sio msingi wa maisha ya viumbe, na maisha kwa ujumla wake.
Hii inaonesha Sayansi sio taaluma ya kuitegemea sana katika maisha.
2. Sayansi imeshindwa kuhudumia viumbe kwa asilimia mia moja.
Yaani Sayansi imeshindwa kutibu baadhi ya magonjwa yanayomkabili binadamu na viumbe vingine.
Yaani Sayansi imeshindwa kufufua viumbe vilivyokufa ili kuvirejesha katika hali ya uzima ya mwanzo.
Yaani Sayansi imeshindwa kuzuia baadhi ya majanga yanayosababishwa na nguvu za asili kama Matetemeko ya Ardhi, Vimbunga vya El-Niño, mvua za Gharika nk.
Sayansi imeshindwa kutoa majibu kuhusu masuala ya mahusiano ya Sayari kubwa, mfano.
Haisemi Jua likiharibika litarekebishwaje.
Haisemi msingi wa Sayari kuelea bila kushikiliwa na mihimili au nguzo zenye nguvu. Inasingizia kuwa nguvu za Gravity ndizo zinazoshikilia Sayari lakini haisemi hiyo Gravity imeegemea kwenye kitu gani kinachoipa nguvu ya kushikiria hizo Sayari zote.
Sayansi imeshindwa kueleza kwa ufasaha nini Chanzo na Hatima ya Uhai.
Sayansi ilichofanikiwa ni kubuni nyenzo za kufanyia kazi, kwa kiwango cha kawaida maana kazi bado inaendelea ya kubuni nyenzo za kumuwezesha binadamu kufanya kazi zake kwa urahisi zaidi bila kuvitegemea sana viungo vyake.
Sayansi ilichofanikiwa kiasi ni kurekebisha hizo nyenzo za kifanyia kazi na kutibu baadhi ya maradhi yanayomsumbua Binadamu na viumbe vingine.
Sayansi imeshindwa kujibu maswali ya msingi sana katika maisha.

Nani aliyeasisi Uhai ?
Nani alimtengeneza Binadamu ?
Binadamu yupo kwa ajiri gani ?
Ulimwengu anaoishi Binadamu umetengenezwa na nani ?
Unaisha lini ? (expire date yake)
Nini hatima ya maisha ?

Hapa bila shaka kuna hoja ya msingi sana ya kudadisi maisha zaidi ya majibu ya Wanasansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo
hahaha kuna mtu niliwahi kumwambiaga hivi akaishiwa na hoja aisee
 
Kwanza sote tujiulize sayansi ni nini. Pia ninani aliyeleta maarifa ya sayansi. Kama kila mmoja wetu atapata jibu kuwa ni Mungu ndiye sababu ya vyote hivi basi haina budi kukubari asili ya sayansi ni Imani ya kimungu. Ndio maana utakuta mtoto amezaliwa ni jiniazi na mwingine amezaliwa ni zezeta yote hufanya na kitu kinacho itwa Super naturall power ambaye ni mungu mwenyewe but pia mkumkuke katika dunia Kuna mungu wa dunia hii ambaye ni shetani pia hotoa maarifa kwa binadamu sio kwa kusudi ya faida ya binadamu bari ni kwaajiri ya kupotosha watu. Kwa mfano kuleta maarifa ya FOREX, BETCON,na mitandao mingi ya ngono.
 
as they probe deep and far, even into realms that are invisible and untouchable, some scientists (astrophysicist) feel that if god of the Bible exists, they should be able to find him.

£§.the absence of evidence for any God who plays role in the universe proves beyond a reasonable doubt that such a God does not exist.

£§.other allude to the activity of the God of the Bible as magic and supernatural shenanigans

HAS SCIENCE LEARNED ENOUGH ABOUT THE NATURAL WORLD TO BE ABLE TO DRAW DEFINITIVE CONCLUSIONS?

√we will never get to the bottom of things (physicist and Nobel laureate STEVENS WEINBERG on understanding Nature)

√there may be things that humans will never understand (professor Martin rees, astronomer royal of Great Britain)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upungufu mkubwa wa science ni kuwa ipo kama dini,mambo mengi sana ni ya kusadikika na kuamini tu hakuna proof lakini yanaandikwa kama ni ukweli ulio na proof
kwa mfano wanasema dunia ina tabaka tatu crust, mentle na inner core lakini watu wote waloishi duniani hakuna aliewahi kuona
hivi
kusema kuwa dunia ni duara hakuna proof yeyote inayoonehsa kuwa dunia ni duara
hakuna proof ya gravity
hakuna proof ya mizunguko ya dunia
hakuna proof ya outter space badala ya picha za kuchora kwa computer
imekuwa ni imani sawa na dini lakini vinalazimishwa vionekana kama vina proof
Eti dunia ni duara, hahaha dunia inazunguka. Pumbavu kabisa hawa jamaa.
 
Upungufu wa sayansi upo kwenye swala haswa kuwa imeundwa kuuliza maswali na si kutoa majibu ya maswali husika.
Mifano mingi ipo ya jinsi ambavyo sayansi inashindwa kujibu maswali yake yenyewe, kama kwanini proton na electron kamwe haziachi kuzunguka nucleus au kwanini sayari hazitoki kamwe katika mhimili wake na kadhalika. Hivyo sayansi badala ya kutatua matatizo yaliyopo inazua mengine zaidi na mzunguko huu huwa endelevu. Ushauri wangu ni sayansi irudi katika misingi na kukubali uwepo wa mpangilio katika ulimwengu na Aliye uweka mpangilio huo na ndipo sayansi itaweza kupiga hatua.
unachangia jukwaa lenye watu tofaut na level tofaut za kielimu kama hujui ni bora ukae kimya hapo kwenye proton na electron kasome models hizi bohr atomic model na quantum atomic model utaelewa ndo urudi kuchangia tena!
 
Sayansi imeshindwa jambo moja la msingi sana ambalo ni
1. KUHAISHA.
Sayansi imeshindwa kutengeneza Uhai, iwe wa mnyama au mmea.
dini ni imani na kamwe sayansi haijajitenga na dini tatizo ni vigumu kuprove na ndo maana kuna baadhi ya vitu kama chanzo cha uhai hadi mungu amehusishwa ref. theories of origin of the universe.
kwenye sayansi kuna laws and theories ukisikia theory ujue haijawa proven na unaweza kuichallenge otherwise au kuiboresha lakini still vizazi vijavyo vinatakiwa kusoma hata yenye mapungufu
Mfano theories of evolution kuna akina lamark,darwin,neo-darwinism and co kila moja utajifunza strengths zake na weakness pia.
Ukija kwenye laws mpaka iitwe law ujue lazima kuna proof ila sababu wengi humu either wameishia ordinary level kwenye sayansi au ushabiki wa kidini wanajitoa ufahamu.
Kuna mifano mingi sana sayansi ya akina aristotle siyo sawa na ile ya akina Einstein.
 
Back
Top Bottom