Kaina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 380
- 326
Nyie wa kwenu wavalishe hayo madude! Mi wa kwangu HATATHUBUTU! Ni heri mwoga aliyepona kuliko shujaa aliyekufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hiki ndicho ninachokiamini na mimi kuhusu pampasi.Mngemuuliza Pampas zimetengenezwa kwa materials zipi na madhara yake yanasababishwa na nini na kwanini?
Pamoja na hayo, kwa sababu za kiuchumi, na flexibility pampas siyo kitu cha kushindia kwa mtoto.
Pia Pampas inaweza kumchelewesha myoto kujitambua kwenye kwenda haja. Inabidi ajisaidie kwenye nguo ili hata ninyi mstuke mapema na kumbadirisha au hata yeye aanze kukereka mapema.
Pampas zinalemaza or ku slow down watoto katika kujitambua pia zinalemaza wazazi/waangalizi
mkuu msingi wa msimamo huu mzito ni nini.Nyie wa kwenu wavalishe hayo madude! Mi wa kwangu HATATHUBUTU! Ni heri meoga aliyepona kuliko shujaa aliyekufa
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mama kaoshwa ubongo na mume wake kuwa huyo mume '' kailfanyie ile wasomi wanaita TAFITI''.
mkuu hili ni tatizo pana, maana wengi wanahizi imani kichinichini. Wengine wanapinga hata mayumizi ya ''wipes'' eti nazo zinamadhara.
Weka elimu mkuu tukomboe jamii, nataka nimtakase ubongo huyo mbaba aliyemuosha ubongo mke wake, ila hakoswa nondo na ushawishi wa kutosha, maana huyo jamaa akiamini kitu unahitaji ushahidi na maelezo mazito kumsaidia aamini.
mkuu hiki ndicho ninachokiamini na mimi kuhusu pampasi.
Atavaa tu Kwenye matukio maalumu ambayo kubadilibadili nepi inakuwa kwazo.
Lkn Mkuu kaswali kameniijia, mbona wazungu wanavaa tu na bado wanajitambua kuliko sisi wasomeshwaji namba?
mkuu comment zako huwa zinafungua mipaka ya tanzania na kitutaka tuwe na uwanja mpana zaidi kifikiri.Na hao hao Wazungu wanazizidi nchi nyingi tu za Kiafrika kwa idadi ya watu!
Mkuu, Una uthibitisho gani kuwa pampers zina madhara kwa watoto? Kama Una scientific evidence basi share na Sisi ili tuweke kwenye mizani. Hakuna mzazi anayependa mwanawe aharibikiwe.Nyie wa kwenu wavalishe hayo madude! Mi wa kwangu HATATHUBUTU! Ni heri meoga aliyepona kuliko shujaa aliyekufa
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu sio msimamo wangu huu, ni msimamo wa mshauri mtaani.Mkuu, moto una madhara au hauna?
Gari lina madhara au halina?
Pombe je?
Chakula je?
Hewa unayoivuta ina madhara au haina?
Dunia ya leo mtu kuwa mhanga wa imani potofu ni suala la kujitakia tu.
Sioni kabisa uhusiano wa hizo nepi na uhanithi.
Kama upo, tuonyeshe/ tueleze kinagaubaga namna hizo nepi zinavyosababisha hiyo hali.
Tatizo ni TBS ni butu au niseme dhaifu sana.i Vitu tunavyotumia vipo chini kabisa ya viwango na tuna TBS.Umofa kwenu!!!!!!
Wakuu mbalimbali nimetatizwa na elimu tata juu ya hizi nepi za kizungu kwa kina la ''pambasi''
Mama mmoja amenikuta niko na mama yoyoo tunambadilisha dogo ''pampasi'' akasema msinichukie jamani lkn mnielewe, mnamuharibu mtoto wenu mzuri wa kiume.Kuwa hizo zinamadhara, mala mtoto atakuja kuwa hanithi etc.
Pia kuna kakilipu kanatembea mitandaoni kakionyesha hiyo makitu ikiwa inatoa funza.
Tuliheshimu maoni yake lakini hatukiyatekeleza kwa wema tu maana ratiba ya huyu dogo kuvaa papasi ni kwenye matukio tu ila siku zote anakula nepi.
wazazi mbalimbali na wajuvi wa mambo haya karibu tutoane tongotongo za maisha.
Kuuliza ni Akili.
mkuu sio wewe tu Hata Nyerere aliwaonea huruma.Tatizo ni TBS uko butu.
Vitu tunavyotumia vipo chini kabisa ya viwango na tuna TBS.
Tanzania hii hawabadiliki hao mpaka Rais aende akawatumbue.
Namuonea huruma sana yeyote anae kuwa Rais wa Tanzania.
Kwa kuongelea kujitambua sina maana ya kuwa wataishia kutojitambua, bali namaanisha huenda wakachelewa badala ya kuhisi tofauti katika mwaka 1.8 anaweza akaanza kuhisi tofauti katika umri miaka 2.5 hadi 3. Nguo ya kawaida itamfanya ahisi kero kuwa na kinyesi au mikojo, hivyo ataanza mapema kuhisi hali inayopelekea kero hiyo na hivyo kutoa ishara/taarifa mapema. Lakini ukimvalisha Pampas sababu ya protection na comfortability hatahisi kero hivyo ataendelea tu kujikojolea na hivyo kuchelewa ku control urine kila inapokuja.mkuu hiki ndicho ninachokiamini na mimi kuhusu pampasi.
Atavaa tu Kwenye matukio maalumu ambayo kubadilibadili nepi inakuwa kwazo.
Lkn Mkuu kaswali kameniijia, mbona wazungu wanavaa tu na bado wanajitambua kuliko sisi wasomeshwaji namba?
mkuu mimi na wewe katika hili tuko pamoja.Kwa kuongelea kujitambua sina maana ya kuwa wataishia kutojitambua, bali namaanisha huenda wakachelewa badala ya kuhisi tofauti katika mwaka 1.8 anaweza akaanza kuhisi yofauti katika umri miaka 2.5 hadi 3. Nguo ya kawaida itamfanya ahisi kero kuwa na kinyesi au mikojo, hivyo ataanza mapema kuhisi hali inayopelekea kero hiyo na hivyo kutoa ishara/taarifa mapema. Lakini ukimvalisha Pampas sababu ya protection na comfortability hatahisi kero hivyo ataendelea tu kujikojolea ma hivyo kuchelewa ku control urine kila inapokuja.
Kwa kidogo ninachoelewa ni kuwa pampers zimetengenezwa kwa pamba + super absorbent materials zenye uwezo mkubwa Sana wa kuabsorb mkojo na kumuacha mtoto akiwa mkavu. Kwa maana nyingine, mtoto akijikojolea mara moja au mbili na asitokee mtu wa kumbadilisha hata kwa masaa mawili matatu, basi mtoto ataendelea kuwa mkavu. Madhara yanatofautiana kama frequency ya kumbadilisha haizingatiwi plus Hali ya hewa. Sehemu za joto kama Dar ni kweli pampers zinaweza zisiwe rafiki wa mtoto, hasa kama frequency ya kumbadilisha haizingatiwi. Kuna suala la brand pia, zipo zinazouzwa elfu 40 pieces 66 ( kwa Mbeya) na nyingine kwa idadi ya pieces hizo hizo zinauzwa 18,000 na difference yake utaiona kwenye matumizi. Mwisho, hata simu na laptop tunazotumia inasadikika zina madhara, ila kwa sasa hutosikia mtu anasema watoto wake hawatotumia electronic gadgets. TBS nao????
Watoto wangu wawili 8yrs na 3 yrs walivaa pampas tangu siku waliyozaliwa hadi wakatoka stage hiyo.
Sijawahi kuwa na nepi wala kununua nepi.
Mnaenda dunia gani jamani?
Mnaokataa pampas nawashauri hata pedi za dukani msitumie bali mtumie vitambaa.
Ebo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenena. Pampers ni expensive jamani.Umasikini tu unatusumbua
Haswaa umenena vyemaHata vitambaa wasitumie maana navyo vimetengenezwa viwandani huko.
Watumie majani ya miti na nyasi!!