Je, nikifungua akaunti Benki ya Standard nchini Bahamas, naweza kupata huduma kama mteja wa Benki hiyo nikiwa Tanzania?

Je, nikifungua akaunti Benki ya Standard nchini Bahamas, naweza kupata huduma kama mteja wa Benki hiyo nikiwa Tanzania?

Naomba mimi dola 100 hiyo ingawa sijafanya kazi yoyote na sina la kuchangia sababu sijui sana. Ninachojua unaweza pata huduma nchi yoyote ila kutakuwa na charges kidogo kwa nchi husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali je naweza kuwa miongoni mwa wateja wa hapo Tz kwenye same bank ambayo iko hapa The Bahamas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacaribian ni nchi ya akina Rihanna, wanapenda ngono sana, unakuta wanaume mashoga kwao hio tabia ni ya kawaida, ila pia wako wenye heshima sana, wanapenda urafiki ni wakarim sana, kulikua kuna dem flani wa kikaribian aliwahi kunitaka kimapenzi nimpige pumbu ila nikasita coz demu alikua anavuta bangi ingawaje kipindi hicho mpaka sasa huku niliko genye ni nyingi ila sikutaka kumla, ila alinyonya stick alikua anayameza sana mpaka nikawa naogopa, nilimkimbia naona alikua ananizoea sana nikablock number[emoji23]
Mi nataka kuja huko Bahamas Bahama mama

Nicheze wa wa caribien nipe info kukoje kiutafutaji pesa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacaribian ni nchi ya akina Rihanna, wanapenda ngono sana, unakuta wanaume mashoga kwao hio tabia ni ya kawaida, ila pia wako wenye heshima sana, wanapenda urafiki ni wakarim sana, kulikua kuna dem flani wa kikaribian aliwahi kunitaka kimapenzi nimpige pumbu ila nikasita coz demu alikua anavuta bangi ingawaje kipindi hicho mpaka sasa huku niliko genye ni nyingi ila sikutaka kumla, ila alinyonya stick alikua anayameza sana mpaka nikawa naogopa, nilimkimbia naona alikua ananizoea sana nikablock number[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Inchi ya watu wanaopenda ngono pesa ipo sababu ni wavivu sana kujituma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwenye wire transfer sijakupata

Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha unahamisha pesa kutoka Bahama kwenda akaunti ya Kibongo, na njia itakayotumika uwezekano mkubwa ni Wire Transfer ambayo kwa kawaida ina-range from USD 25 (+10 +X ) to USD 30(+10 +X).

Hiyo USD 25 au USD 30 ndo transfer charge, USD 10 inaenda kwa Correspondence Bank, na hiyo USD X ambayo inakuwa kati ya USD 5-10 inachukuliwa na Local Bank unakoingiza hiyo pesa!

Kwa maana nyingine, kama Bahama una USD 10K, Bongo itaingia takribani USD 9950. Kama Bongo unayo forex account, itaingia kama ilivyo lakini kama una local currency account, hizo USD 9950 zitakuwa converted into TZS na kuingizwa kwenye akaunti.
 
Nimekupata mkuu kwa hiyo nikija huko bongo ni lazima nifungue same bank but different account yani forex account au nifungulie bank yeyote ile? Kama NMB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unaongea kinyume? Ushauri na maelezo ya benki ndiyo bora zaidi kuliko hapa. Benki hawawezi kukudanganya hasa benki kubwa kama hiyo lakini hapa unaweza kupewa majibu yasiyo sawa. Napata shaka kama kweli umewahi kusafiri halafu info kama hizi hujui pa kuzipata. Anyway wasalimie huko Lukuledi ambako wewe unasema ni nje ya nchi.
Hivi unatarajia Standard Chartered Bank Bahama wanaweza kufahamu banking procedures za Bongo?! Kumbuka hizi sio foreign branches bali ni subsidiary ban ambayo kila moja ina-operate kulingana na regulation za nchi husika!!!
 
Nimekupata mkuu kwa hiyo nikija huko bongo ni lazima nifungue same bank but different account yani forex account au nifungulie bank yeyote ile? Kama NMB

Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni kama kutakuwa na tofauti yoyote ile kati ya kungua Standard Chartered Bank Tanzania au benki nyingine yoyote ile kwa sababu, wakati Standard Chartered Bank Tanzania ni subsidiary bank ya Standard Chartered Group, kuna uwezekano na hiyo ya Bahama nayo ikawa ni subsidiary vile vile!

Kama ndivyo, hizi ni benki zinazo-operate under different banking regulations, na ni different entities hata kama zote ni watoto wa Standard Chartered Bank!

Na kama hiyo tofauti ipo, basi ni ya kawaida sana!!!
 
Hivi unatarajia Standard Chartered Bank Bahama wanaweza kufahamu banking procedures za Bongo?! Kumbuka hizi sio foreign branches bali ni subsidiary ban ambayo kila moja ina-operate kulingana na regulation za nchi husika!!!
Mbona unapenda sana ku-complicate mambo ndugu yangu. Kama kweli yuko huko aende hiyo benki watampa maelezo ya kutosha kulingana na kadi aliyonayo. Unafikiria kwa mfano hawawezi kujua kuwa mteja wao akipoteza kadi akiwa nje ya nchi yao anatakiwa afanye nini ili kupata mpya? Ok... tufanye hawawezi kujua procedures za Bongo kama ulivyosema, je mawasiliano hayawezekani? Hata kama benki haitaki kuwaulizia, je yeye hawezi kuulizia kwenye karne hii yenye kila aina ya mawasiliano? Kwa mfano akiandikia banki husika email kuulizia na kuulizia hapa ni wapi atapata jibu sahihi zaidi?
 
Back
Top Bottom