Vf-successfully
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 253
- 166
- Thread starter
- #41
Kwa kazi ipi aliyo ifanya nimesema kwa atakaye toa mchango wa mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kazi ipi aliyo ifanya nimesema kwa atakaye toa mchango wa mawazo
Unapata vizuri tu.... ukifika Tanzania wewe nenda bank waambie tatizo lako watakushughulikia vizuri tu.
Naomba mimi dola 100 hiyo ingawa sijafanya kazi yoyote na sina la kuchangia sababu sijui sana. Ninachojua unaweza pata huduma nchi yoyote ila kutakuwa na charges kidogo kwa nchi husika.Kwa kazi ipi aliyo ifanya nimesema kwa atakaye toa mchango wa mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Je issue ya kupoteza card ya ATM wewe unaiyonaje nikiwa uko bongoHiyo ina online banking unaweza fungua na ku operate vizuri tu.......
ila lazima waverify your phisical address
Swali je naweza kuwa miongoni mwa wateja wa hapo Tz kwenye same bank ambayo iko hapa The BahamasNaomba mimi dola 100 hiyo ingawa sijafanya kazi yoyote na sina la kuchangia sababu sijui sana. Ninachojua unaweza pata huduma nchi yoyote ila kutakuwa na charges kidogo kwa nchi husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nataka kuja huko Bahamas Bahama mama
Nicheze wa wa caribien nipe info kukoje kiutafutaji pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa spesific kidogo...wewe unataka ukifika Tanzania upate huduma gani?...
Inchi ya watu wanaopenda ngono pesa ipo sababu ni wavivu sana kujitumaWacaribian ni nchi ya akina Rihanna, wanapenda ngono sana, unakuta wanaume mashoga kwao hio tabia ni ya kawaida, ila pia wako wenye heshima sana, wanapenda urafiki ni wakarim sana, kulikua kuna dem flani wa kikaribian aliwahi kunitaka kimapenzi nimpige pumbu ila nikasita coz demu alikua anavuta bangi ingawaje kipindi hicho mpaka sasa huku niliko genye ni nyingi ila sikutaka kumla, ila alinyonya stick alikua anayameza sana mpaka nikawa naogopa, nilimkimbia naona alikua ananizoea sana nikablock number[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huduma kama deposit na renew ATM card na enquire on bank statementKuwa spesific kidogo...wewe unataka ukifika Tanzania upate huduma gani?...
Kama huduma za kutoa...unatoa tu...uwe na visa.
Si haujafungua account kwenye hiyo bank bado...siku unafungua waambie unatarajua kuhamia nchi X...Huduma kama deposit na renew ATM card na enquire on bank statement
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukranSi haujafungua account kwenye hiyo bank bado...siku unafungua waambie unatarajua kuhamia nchi X...
Ukifika Bongo utaenda bank kisha wataactivate account yako. Nilishafanya hivyo pia.
Wanakupatia una request...Je issue ya kupoteza card ya ATM wewe unaiyonaje nikiwa uko bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha unahamisha pesa kutoka Bahama kwenda akaunti ya Kibongo, na njia itakayotumika uwezekano mkubwa ni Wire Transfer ambayo kwa kawaida ina-range from USD 25 (+10 +X ) to USD 30(+10 +X).
Nimekupata mkuu kwa hiyo nikija huko bongo ni lazima nifungue same bank but different account yani forex account au nifungulie bank yeyote ile? Kama NMBNamaanisha unahamisha pesa kutoka Bahama kwenda akaunti ya Kibongo, na njia itakayotumika uwezekano mkubwa ni Wire Transfer ambayo kwa kawaida ina-range from USD 25 (+10 +X ) to USD 30(+10 +X).
Hiyo USD 25 au USD 30 ndo transfer charge, USD 10 inaenda kwa Correspondence Bank, na hiyo USD X ambayo inakuwa kati ya USD 5-10 inachukuliwa na Local Bank unakoingiza hiyo pesa!
Kwa maana nyingine, kama Bahama una USD 10K, Bongo itaingia takribani USD 9950. Kama Bongo unayo forex account, itaingia kama ilivyo lakini kama una local currency account, hizo USD 9950 zitakuwa converted into TZS na kuingizwa kwenye akaunti.
Hivi unatarajia Standard Chartered Bank Bahama wanaweza kufahamu banking procedures za Bongo?! Kumbuka hizi sio foreign branches bali ni subsidiary ban ambayo kila moja ina-operate kulingana na regulation za nchi husika!!!Mbona unaongea kinyume? Ushauri na maelezo ya benki ndiyo bora zaidi kuliko hapa. Benki hawawezi kukudanganya hasa benki kubwa kama hiyo lakini hapa unaweza kupewa majibu yasiyo sawa. Napata shaka kama kweli umewahi kusafiri halafu info kama hizi hujui pa kuzipata. Anyway wasalimie huko Lukuledi ambako wewe unasema ni nje ya nchi.
Sioni kama kutakuwa na tofauti yoyote ile kati ya kungua Standard Chartered Bank Tanzania au benki nyingine yoyote ile kwa sababu, wakati Standard Chartered Bank Tanzania ni subsidiary bank ya Standard Chartered Group, kuna uwezekano na hiyo ya Bahama nayo ikawa ni subsidiary vile vile!Nimekupata mkuu kwa hiyo nikija huko bongo ni lazima nifungue same bank but different account yani forex account au nifungulie bank yeyote ile? Kama NMB
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unapenda sana ku-complicate mambo ndugu yangu. Kama kweli yuko huko aende hiyo benki watampa maelezo ya kutosha kulingana na kadi aliyonayo. Unafikiria kwa mfano hawawezi kujua kuwa mteja wao akipoteza kadi akiwa nje ya nchi yao anatakiwa afanye nini ili kupata mpya? Ok... tufanye hawawezi kujua procedures za Bongo kama ulivyosema, je mawasiliano hayawezekani? Hata kama benki haitaki kuwaulizia, je yeye hawezi kuulizia kwenye karne hii yenye kila aina ya mawasiliano? Kwa mfano akiandikia banki husika email kuulizia na kuulizia hapa ni wapi atapata jibu sahihi zaidi?Hivi unatarajia Standard Chartered Bank Bahama wanaweza kufahamu banking procedures za Bongo?! Kumbuka hizi sio foreign branches bali ni subsidiary ban ambayo kila moja ina-operate kulingana na regulation za nchi husika!!!