Je, nikifungua akaunti Benki ya Standard nchini Bahamas, naweza kupata huduma kama mteja wa Benki hiyo nikiwa Tanzania?

Je, nikifungua akaunti Benki ya Standard nchini Bahamas, naweza kupata huduma kama mteja wa Benki hiyo nikiwa Tanzania?

Mtata ni wewe unayefungua thread za kuulizia mambo rahisi kupata info zake. Soma thread nilizoweka link hapo chini uone unavyojianika mwenyewe. Unaogopa nini kuwasiliana na mamlaka husika? Wewe ni drug dealer? Inabidi tu-flash ID yako kwa wazee huko wakufanyie uhakiki. Kama haya unayoulizia ni ya kweli basi inaonekana ulitoka Bongo na ulipofika South Africa ukatafuta namna ya ku-extend visa yako kimagumashi, na sasa umeenda Bahamas kuchukua mzigo au unataka kufungua offshore account ili fedha zako chafu za unga zisiweze kufuatiliwa.

Msaada wa VISA ya Afrika Kusini - JamiiForums

CRDB Card bank naweza kuswap nje ya nchi - JamiiForums
Sasa maswala ya account yanahusiana vipi na biashara haramu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Franchising kuna Makampuni hutumia Jina la Makampuni yalio fanikiwa ili kufanya biashara zao, so unaweza kuta Wamiliki ni tofauti kabisa na kinacho fanana ni jina pekee yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada ambayo sijui kitu, Napenda kusoma michango ya wenye uelewa nayo. Inasikitisha unakuta taahira Fulani la Manzese linaingia na kuchangia upumbavu.
 
Back
Top Bottom