TELLO
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 234
- 411
Kama una mtu bongo mwambie aende kwenye hiyo bank aulize hayo mswali yako yote.Afu akupe mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa maswala ya account yanahusiana vipi na biashara haramu?Mtata ni wewe unayefungua thread za kuulizia mambo rahisi kupata info zake. Soma thread nilizoweka link hapo chini uone unavyojianika mwenyewe. Unaogopa nini kuwasiliana na mamlaka husika? Wewe ni drug dealer? Inabidi tu-flash ID yako kwa wazee huko wakufanyie uhakiki. Kama haya unayoulizia ni ya kweli basi inaonekana ulitoka Bongo na ulipofika South Africa ukatafuta namna ya ku-extend visa yako kimagumashi, na sasa umeenda Bahamas kuchukua mzigo au unataka kufungua offshore account ili fedha zako chafu za unga zisiweze kufuatiliwa.
Msaada wa VISA ya Afrika Kusini - JamiiForums
CRDB Card bank naweza kuswap nje ya nchi - JamiiForums
Siyo account Ni suspicious questions zako.
Umesha somq nauliza kuwa nikiwaka pesa kiasi fulani kwenye account itakuwaje hayo ndo suspicious questions.Siyo account Ni suspicious questions zako.
Ok sasa kuna acc kama hiyo mkuu USD ndo maana nikawa nashauku labda utakuwa unamaanisha neno jengine
[emoji3][emoji23]Mada ambayo sijui kitu, Napenda kusoma michango ya wenye uelewa nayo. Inasikitisha unakuta taahira Fulani la Manzese linaingia na kuchangia upumbavu.
Kwa mfano bank mpya ya ABSA ambayo imenunua bank hapo tz hiyo ipo SABarclay Africa imeuzwa lakini ile ya Uingereza bado iko pale pale hapo ndo utajua kwamba huwa ni Jina ila oparation na umiliki ni tofauti kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app