Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Sio kumkataa bali anatakiwa aweze kujisimamia, sikatai yeye kumsikiliza au kumhudumia mama. Ila kwa mwendo anaoenda hatokaa afanikiwe. Haiwezekani unakosa hela ya kumlipia mwanao ada, kisa mama anahitaji hzo hela kwa matumizi binafsi yasiyo na tija

Sasa hapa naanza kukuelewa...
Kwa hiyo huyu kijana tayari na mtoto?, je mtoto huyu ni wenu? kama kweli anaacha kutoa matunzo yako na mtoto mpaka ada kwa sababu tu mama anataka hela hii ni shida.
 
Baba yake yuko wapi? Maana hawa wanaume wanaokuwa bila father figure kwenye maisha yao ni vichomi zaidi ya covid.
 
Kumpenda unampenda kwenye yale majambo yetu anakupaisha sasa kabla ya kumuacha kwanini usiongee naye ili kusikia msimamo wake kwanza? Usije ukaishia usingo maza 😅
 
mwanaume anaeishi kwao anakwambia kuhusu ndoa na wewe unaingia mkengee tu kifalaa… huyo mama kashajua wew ni chuma uleteee yanii hapo kisa dudu tamu utatumika hasaaa mpaka uone dunia chungu
 
Kumpenda unampenda kwenye yale majambo yetu anakupaisha sasa kabla ya kumuacha kwanini usiongee naye ili kusikia msimamo wake kwanza? Usije ukaishia usingo maza 😅
mi singo maza kitambo mkuu
 
Reactions: BAK
mwanaume anaeishi kwao anakwambia kuhusu ndoa na wewe unaingia mkengee tu kifalaa… huyo mama kashajua wew ni chuma uleteee yanii hapo kisa dudu tamu utatumika hasaaa mpaka uone dunia chungu
ukweli ulio mchungu rikiboy wetu
 
ikifika kwenye ndoa dudu haina maana tena yani choose the best for ur children na Maisha yako ya keshoo hutakula wala kuishii ndani ya dudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…