Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

period!!!
Kama kweli unampenda basi mueleze ukweli tu, kuwa ili mfikie malengo yenu lazima mfanye A, B, C. But don't put the fella in a situation that he either chooses you over his mom or his mom over you.
 
Kama kweli unampenda basi mueleze ukweli tu, kuwa ili mfikie malengo yenu lazima mfanye A, B, C. But don't put the fella in a situation that he either chooses you over his mom or his mom over you.
This is so hard as we know the guy can do nothing about it.
 
Sijaona kosa la huyo kijana coz umesema anakupa unachotaka ..na pia anampa mama yake kile anachotaka ..kingine mama alinganishwi na mke wala baba yule ni mtu special .. hata wewe ukiwa na wanao utataka wakupende kma unavyo wapenda ...nyie wanawake hua hamriziki hata mpewe nn.binafsi nikiona mke haelewani na mama mkwe napiga chini ctak kumkana maza kisa mke.
 
Kwanza jiulize wewe waeza kuacha kumsikiliza mama ako kisa boyfriend au mchumba ..kila mtu anayo nafasi yake ..mzazi cku zote yuko juu ...
 
Bro ungeelewa kiundani sawa, ila nn sikulaumu mkuu
 
Kwanza jiulize ww waeza kuacha kumsikiliza mama ako kisa boyfriend au mchumba ..kila mtu anayo nafasi yake ..mzazi cku zote yuko juu ...
Kama mzazi ananipoteza siwez msikiliza huwa nachuja vitu, nina mama pia sfany kila asemalo
 
Nadhani mapenzi ya mama kwa mwanae ndio husababisha mama kutompenda mkwe, ni kawaida..... Ila kuolewa na mtu wa hivo unahitaji kujitoa muhanga kwelikweli.
 
Nadhani mapenzi ya mama kwa mwanae ndio husababisha mama kutompenda mkwe, ni kawaida..... Ila kuolewa na mtu wa hivo unahitaji kujitoa muhanga kwelikweli
Acha tu mama labda kuna mdada ataweza
 
Moms boy
 
Alafu umwambie ukweli , usimwache dailema.

Mpaka sasa ni ushamuacha bado kumwambia tu.

Nawaza tu: mwamba akigundua kapigwa chini na mtu aliyekuwa anampenda/aliyekuwa na mipango ya kumueka ndani kabisa , kisa tu Bi mkubwa[emoji848]

Alafu we Dada ,Mimi kama mimi nshakuchukia tayari.[emoji41]

Wacha niendelee kulewa Mimi[emoji482][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Fanya appointment na mwanasaikolojia yeyote unaemwamini mwende pamoja awafanyie canceling wote nyie waelewa mtadaka mawili matatu yatakayowasaidia
All the best new gal
 
Mwambie ukweli ili ajue nini una wasiwasi nacho. Mama wakwe si wa kucheka nao. Muheshimu lakini kaa nae mbali...onana nae kwa Jambo muhimu tu.
 
Sa ukimchukia itakusaidia nini au itamuathiri nini?
 
Jinsi mama yangu alivyohangaika kunifikisha hapa nilipo leo aniombe hela nisimpe kisa kuna msukumo wa mwanamke niliyekutana naye ukubwani hilo haliwezi kutokea. Na kwa niaba ya uyo jamaa yako ni bora ujikatae tu madam.
 
Kumtunza mama ktu gani ndgu, mimi naongelea mtu kutaka hela for anasa, bia zenyewe nilipeleka katoni akalalamika kwanini sijapeleka boxi zima, we unaona ni sawa? tena kwa binti ambae unajua ndo anapambana na maisha?
Mbona sasa na mimi unanilalamikia hapa na sijawahi kukuomba kitu?

Kwani kama usingepeleka angefanyaje? (kama usingekuwa nazo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…