Je, nimchukie mama au binamu yangu? Nitaanzaje kumuita binamu baba?

Shady782

Member
Joined
Jun 12, 2026
Posts
9
Reaction score
45
Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama kwasababu siwezi kumuita binamu baba never story yangu inaanzia 2013 mpaka now mkiwa tiali mtaniambia ila Ina mengi ya kujisfunza na mengine ya kuuzunisha nawatakia wakati mwema
 
Sisi kama wafuasi wako kindakindaki tupo tayari. Tupo kama 80,000,000.
 
Pumbavu, fara sana wewe kwa hiyo unataka kujifanya story yako ndio kila kitu kwa member zaid ya milion 2. Kama unaleta leta na kama hautaki acha. Ila pole maana baba ya amegogewa na mtoto wa dada yake nawe mama yako amegogwa na kijana wake. Mods watu wanaboa sana msinipige bani nina miaka 15 humu mimi
 
Tulaleni tu wadau hapa hakuna story jamaa ashaanua matanga
 
Story ni kuwa Mama yake jamaa aliolewa na Binamu wa mtoa Mada na sasa anawadogo zake waliozaliwa nae tumbo moja kwa Mama yake ila Baba wa Wadogo zake ni Binamu yake kabisa kutoka kwa Shangazi yake.

Siungeandika tu hivo Mkuu.?

😎
 
Back
Top Bottom