Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Dogo, huyo binamu ndiyo baba yako kuanzia sasa. Huna sababu ya kumchukia mtu yeyote kati ya hao wawili! Zaidi jichukie wewe mwenyewe kwa kushindwa kuukubali ukweli.Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama kwasababu siwezi kumuita binamu baba never story yangu inaanzia 2013 mpaka now mkiwa tiali mtaniambia ila Ina mengi ya kujisfunza na mengine ya kuuzunisha nawatakia wakati mwema