😀Unataka idadi ngapi ya watu wa kusema wapo tayari ndiyo uielete hiyo stori?
Imagine hii statement " mkiwa tayari mtaniambia "
Sisi tukiwa tayari 🙌Imagine hii statement " mkiwa tayari mtaniambia "
Tayari wangapi?
Jamaa anataka tuanze kuitana members wote hapa, tukishajaa sijui kwa pamoja ndiyo tureplySisi tukiwa tayari 🙌
Sisi kama wafuasi wako kindakindaki tupo tayari. Tupo kama 80,000,000.Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama kwasababu siwezi kumuita binamu baba never story yangu inaanzia 2013 mpaka now mkiwa tiali mtaniambia ila Ina mengi ya kujisfunza na mengine ya kuuzunisha nawatakia wakati mwema
Jf tamu sanaSisi tuko tayari. Tumeacha kuangalia World Cup tu akusikiliza ndugu.
Mbavu sina mnanifurahisha sana aisee "Hii tabia ya kuandika nyuzi fupi imeanza lini? In secretarybird's voiceKwani huu ni mkutano wa kikiji hadi wote tuwe tayari?
Sawa sawaMuite tu baba kama imeishakua
Hahaha 😂.Mbavu sina mnanifurahisha sana aisee "Hii tabia ya kuandika nyuzi fupi imeanza lini? In secretarybird's voice
Tulaleni tu wadau hapa hakuna story jamaa ashaanua matangaPumbavu, fara sana wewe kwa hiyo unataka kujifanya story yako ndio kila kitu kwa member zaid ya milion 2. Kama unaleta leta na kama hautaki acha. Ila pole maana baba ya amegogewa na mtoto wa dada yake nawe mama yako amegogwa na kijana wake. Mods watu wanaboa sana msinipige bani nina miaka 15 humu mimi
Sis tupo attentionImagine hii statement " mkiwa tayari mtaniambia "
Tayari wangapi?