Mmmmmh!mie sikuwezi Fidel,
Naomba niishie hapo lol!
Tatizo ww badala ya kumsaidia na kutoa wasi wasi ndio kwanza unamchanganya zaidi,Kwa nini uishie hapo lengo ni kumsaidia mwenzetu huyu asuuze mtima wake wenye wasi wasi binadamu hatuaminiani
Hahahahahahaha..ulimwengu huu huwez kupata kitu sealedKani ulimkuta sealed?
Tatizo ww badala ya kumsaidia na kutoa wasi wasi ndio kwanza unamchanganya zaidi,
Yani unamtisha mwenzio mpaka aanze kumfiria vibaya mpnz wake,
Yeye anaulizia kuwa ampigie au auchune ww ushaanza mambo ya majitaka,sijui kusi kaskazin,
Sijui ilikuwa zamu ya mwingine,hapo unamwongezea presha mwenzio Fidel!!!
Jamani,hebu tuwe wakweli,Kuna mtu bado yuko sealed mpaka leo makamo yetu kweli?Kani ulimkuta sealed?
Nisile mchezo! we unafikiri ningekuwa nahaha namna hii!Nami nilitaka kusema mapenzi ya mwezi mchanga matatizo.Utakuta jamaa mpaka saa hizi hajala eti bado ana hasira
Hebu ona majibu yako!!Lakini si anaanza kufikiria ukweli kwanza ndo huo alilala kwa mwanaume mwingine cha pili afanye upembuzi yakinifu kama bomba la maji taka liliharibiwa na huyo njemba kisha atafanya uamuzi usio na shaka wa kumpiga au auchune
Thanx!Kaka inakuwa vipi wa kwetu! Umeshachuna imetosha - ukiendelea kuchuna unajiumiza mwenyewe - na kwanza hunasababu ya kufanya hivyo. Wewe uliagwa! Bwaba eeh mi naenda zangu sendoff - mashughuli ya wanawake si unayajua - vuruvaru tu. Mtu siku nzima kimya. Lakini asubuhi ameamka kitu cha kwanza anakwambia "dear ok wap". Sasa unachuna nini hapo kama sio hasira za kutafuta tu hizo. Mpigie, wala hamna cha kujieleza - mwambie tu bwana we - mimi napata shida sana ukikaa kimya siku nzima bila kuwasiliana, hata kama unashughuli vipi, ni text japo mara moja nijue uko powa.
Nami nilitaka kusema mapenzi ya mwezi mchanga matatizo.Utakuta jamaa mpaka saa hizi hajala eti bado ana hasira
Hahahahahahaha..ulimwengu huu huwez kupata kitu sealed
Ni ni Binti ambaye niko naye muda kiasi,lakini toka jana simuelewielewi! Kapotea bila kunipigia wala kunibeep kutwa nzima! kwa madai anaenda ktk sendoff! Cha ajabu kaja kufunguka saa moja na nusu asubuhi na kijimeseji akiwa ananiuliza"Uko wapi dear"! mi sijamjibu wala nini! anapiga cm sana sijapokea wala nini! Ki ukweli nimekasirika sana! Vipi wadau niongee nae au niuchune? N.B, KAMA HUNA CHA KUCHANGIA KATA MBUGA,USINIDHALILISHE!