Je Nimpigie au na mimi niuchune!?

Je Nimpigie au na mimi niuchune!?

Mpigie umwambie alipokosea, kususa sio dawa wala hakumfanyi atambue kosa lake! Ukikaa kimya unajiumiza mwenyewe ilhali mwenzio hajui kama kakosea. Afu inaezekana wala hajakuwa mahali pabaya!.. Mtu anaweza kutenda maovu hata akiwa hajazima simu yake, mpigie umwulize kwanini alizima simu, mawazo yako yasianze kumuhukumu mwenzio wakati huna hakika nayo!

Alizima simu vile alijua kesha kuaga kuwa anaenda kwenye send off hivyo hakutaka kubugudhiwa wakati yupo kwenye party.
 
Kaka inakuwa vipi wa kwetu! Umeshachuna imetosha - ukiendelea kuchuna unajiumiza mwenyewe - na kwanza hunasababu ya kufanya hivyo. Wewe uliagwa! Bwaba eeh mi naenda zangu sendoff - mashughuli ya wanawake si unayajua - vuruvaru tu. Mtu siku nzima kimya. Lakini asubuhi ameamka kitu cha kwanza anakwambia "dear ok wap". Sasa unachuna nini hapo kama sio hasira za kutafuta tu hizo. Mpigie, wala hamna cha kujieleza - mwambie tu bwana we - mimi napata shida sana ukikaa kimya siku nzima bila kuwasiliana, hata kama unashughuli vipi, ni text japo mara moja nijue uko powa.
 
Kwa nini uishie hapo lengo ni kumsaidia mwenzetu huyu asuuze mtima wake wenye wasi wasi binadamu hatuaminiani
Tatizo ww badala ya kumsaidia na kutoa wasi wasi ndio kwanza unamchanganya zaidi,
Yani unamtisha mwenzio mpaka aanze kumfiria vibaya mpnz wake,
Yeye anaulizia kuwa ampigie au auchune ww ushaanza mambo ya majitaka,sijui kusi kaskazin,
Sijui ilikuwa zamu ya mwingine,hapo unamwongezea presha mwenzio Fidel!!!
 
Lakini si anaanza kufikiria ukweli kwanza ndo huo alilala kwa mwanaume mwingine cha pili afanye upembuzi yakinifu kama bomba la maji taka liliharibiwa na huyo njemba kisha atafanya uamuzi usio na shaka wa kumpiga au auchune
 
Hebu ona majibu yako!!

Yeye hajasema kalala kwa mwanaume mwingine,
Kasema alienda kwenye sendoff na akazima simu,
Hayo ya kulala kwa mwanaume mwingine umeyaanzisha ww hapo,
Mpaka mamboa ya kumkagua hujui ndio unamwongezea wasi wasi mwenzio.
 
Kaka inakuwa vipi wa kwetu! Umeshachuna imetosha - ukiendelea kuchuna unajiumiza mwenyewe - na kwanza hunasababu ya kufanya hivyo. Wewe uliagwa! Bwaba eeh mi naenda zangu sendoff - mashughuli ya wanawake si unayajua - vuruvaru tu. Mtu siku nzima kimya. Lakini asubuhi ameamka kitu cha kwanza anakwambia "dear ok wap". Sasa unachuna nini hapo kama sio hasira za kutafuta tu hizo. Mpigie, wala hamna cha kujieleza - mwambie tu bwana we - mimi napata shida sana ukikaa kimya siku nzima bila kuwasiliana, hata kama unashughuli vipi, ni text japo mara moja nijue uko powa.
Thanx!
 
Nami nilitaka kusema mapenzi ya mwezi mchanga matatizo.Utakuta jamaa mpaka saa hizi hajala eti bado ana hasira

Hehehe jamaa anachekesha kweli. Eti mwanaume mzima(japo sina uhakika) anazira hajapigiwa simu siku moja!!
 
mi nilifikiri ni wanawake tu ndo wanaolalamika kuhusu simu..
eti hajanipigia..
mara sms anachelewa kujibu
mara nikimpigia anachelewa kupokea....

babu zetu na bibi zetu walifaidi mno kuishi bila simu...
 
Ndugu una wivu kitu ambacho ni afya ktk mapenzi...unakosea unapokaa kimya(uchungu/hasira).... Nenda hewani na ikibidi mmwagie "mawivu" yako kwani raha ya mapenzi ni pamoja na wivu..
 
Msiwe mnabana wenzenu hivo watajutaga kuwa wapenzi wenu. women are butterflies let them fly then if go forrever so be it if back they are there to stay. Mwache alikuaga ulitakiwa umuache then mtafute kesho.
 
sasa kilichokuudhi nini? Kama yeye hajakupigia kwa nini wewe usimtafute mpaka yeye akutafute?

Pia hujui kuwa sendoff ina maandalizi, saluni, ukumbini, nk nk

mawasiliano katika mapenzi ni 2 way....
 
Ni ni Binti ambaye niko naye muda kiasi,lakini toka jana simuelewielewi! Kapotea bila kunipigia wala kunibeep kutwa nzima! kwa madai anaenda ktk sendoff! Cha ajabu kaja kufunguka saa moja na nusu asubuhi na kijimeseji akiwa ananiuliza"Uko wapi dear"! mi sijamjibu wala nini! anapiga cm sana sijapokea wala nini! Ki ukweli nimekasirika sana! Vipi wadau niongee nae au niuchune? N.B, KAMA HUNA CHA KUCHANGIA KATA MBUGA,USINIDHALILISHE!

Mshikaji hauna kifua kipana wewe! Kuzima simu siku moja tuu, unaumwa, je akizima mwezi si ndo utakuwa marehemu kabisa wewe?

Anyway, mchukue mka do, ukiona maufundi yamezidi uje alikuwa na mmakonde!
 
Mkuu embu acha utoto mpigie simu kwani simu zisingekuwepo ungefanya nini? Kwa nini usimsikilize ngoja nikupe maujanja hapahapa.
Demu anayedanya ataanza kujieleza kabla hujamuuliza why hajakupigia coz huwa wanajihisi, kwa hiyo na wewe usijifanye kumuhoji wewe msikilize ukiona blaablaa nyingi ujue watu walikigongea manzi yako.
 
Back
Top Bottom