sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Mpigie umwambie alipokosea, kususa sio dawa wala hakumfanyi atambue kosa lake! Ukikaa kimya unajiumiza mwenyewe ilhali mwenzio hajui kama kakosea. Afu inaezekana wala hajakuwa mahali pabaya!.. Mtu anaweza kutenda maovu hata akiwa hajazima simu yake, mpigie umwulize kwanini alizima simu, mawazo yako yasianze kumuhukumu mwenzio wakati huna hakika nayo!
Alizima simu vile alijua kesha kuaga kuwa anaenda kwenye send off hivyo hakutaka kubugudhiwa wakati yupo kwenye party.
Alizima simu vile alijua kesha kuaga kuwa anaenda kwenye send off hivyo hakutaka kubugudhiwa wakati yupo kwenye party.