Najipa matumaini ya kushinda, kwasababu,Kinachokusumbua mleta mada ni ubishi usionatija hapo huna haki na izo kesi huwezi kishinda
Miaka 9 Sasa tunaingia wa 10 atatepeta tu na akikosa kuja mahakamani, nitapewa ushindiKinachokusumbua mleta mada ni ubishi usionatija hapo huna haki na izo kesi huwezi kishinda
iko wazi mkuukabila gani aisee. watoto wa mwisho ndo wanarithi nyumba/boma za wazee. utatufanya watoto wa kwanza tuonekane wehu π π
Miaka 9 Sasa tunaingia wa 10 atatepeta tu na akikosa kuja mahakamani, nitapewa ushindi
Huwezi kushinda kwa sababu hoja zako hazina mashiko hata kidogo.Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.
Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa hauishi na hatimaye mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluhisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake.
Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa hata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.
Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa.
Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona mimi kama punguani.
Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao cha mirathi 2006 mimi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkamata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery.
Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa. Na sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je, nitatoboa?
Haya yote unayafanya ili ufaidike na nini? Ulitaka ule mali ya urithi peke yako bila ndugu?Najipa matumaini ya kushinda, kwasababu,
Kwanza, msimamizi anaishi Mikoani nikichukua summons Nimejenga mawasiliano na dada mjumbe mmoja wa serikali ya Mtaa anaoishi namtumia mjumbe anamvizia zikibaki siku 2 au 1 anampelekea, Kwa iyo inamfanya akose kuja mahakamani Kwa wakati.
Pili, Nimeshamchosha namburuza Kila siku mahakamani nauli na hata muda wa kufanya shughuli za uzalishaji Mali Hana, katepeta mwisho atashindwa kuja, na mahakama itahukumu upande mmoja, Kwa iyo nitashinda
Ati! miaka 17 kama ubaunsa wake angeutumia vizuri saa hizi angekuwepo kwake ametulia.Kwenye hiyo nyumba umeshaondoka au bado umeng'ang'ania kwasababu we ni baunsa? Alafu We tangu 2006 hadi leo imepita miaka 17 bado unapambana na migogoro ya urithi tu au ndo umeshaamua maisha yako yote yaliyobaki kazi yako iwe ni kufungua kesi na kushindwa?
Mwili nyumba, akili Kisoda!!Watu wenye miili mikubwa kwanini huwa hamna akili
Kwanini watoto wa kwanza mnakuwa wajinga sana.Nyumba ilishauzwa miaka 9 imepita. Mimi nilikuwa nadhani nina haki ya kumiliki hiyo nyumba maana mimi ni mtoto wa kwanza.
Vizuri ume sena ulikuwa unadhani.Nyumba ilishauzwa miaka 9 imepita. Mimi nilikuwa nadhani nina haki ya kumiliki hiyo nyumba maana mimi ni mtoto wa kwanza.
Sasa mkuu kama nyumba ni ya familia ni kwann unakataaa makubaliano ya ndg zako ya kuuza ili kila mtu apate mgao wake kihalali.......Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.
Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa hauishi na hatimaye mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluhisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake.
Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa hata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.
Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa.
Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona mimi kama punguani.
Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao cha mirathi 2006 mimi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkamata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery.
Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa. Na sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je, nitatoboa?
πππππππππeti baunsa Ila weweKwenye hiyo nyumba umeshaondoka au bado umeng'ang'ania kwasababu we ni baunsa? Alafu We tangu 2006 hadi leo imepita miaka 17 bado unapambana na migogoro ya urithi tu au ndo umeshaamua maisha yako yote yaliyobaki kazi yako iwe ni kufungua kesi na kushindwa?
Mambo legal officerπππππππππeti baunsa Ila wewe
POA kaka baunsaπππMambo legal officer
Umependeza kwa DpPOA kaka baunsaπππ
Hahahaha Asante Ila naogopaaπππwe huogopi???Umependeza kwa Dp
Unaogopa nini tena? Mi siogopiHahahaha Asante Ila naogopaaπππwe huogopi???