Je, nini kifanyike ili kama Taifa tutoke kwenye mkwamo wa kidiplomasia duniani?

don-mike

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
753
Reaction score
1,506
Kama taifa tunapitia matukio magumu. Hayajawahi tokea huko nyuma. Kabla ya Okt29 hakuna aliyeamini kama yangeweza tokea machafuko ya vile, mimi ni mmoja wapo. Kuna wadau nakumbuka niliwakatalia kabisa kwamba baada ya uchaguzi hata kama kutatokea uonevu basi wananchi tutanywea. Kilichotokea baada ya uchaguzi kimebaki kama historia mpya TZ.

Baada ya matukio hayo yote kila kiongozi anakili intelligence ilishindwa ng'amua mambo, labda reaction ingekuwa tofauti, uhalisia uabaki pale pale kwamba watu wengi waliouawa hawakuwa kwenye maandamano.

Sasa hapa issue sio inteligence ilishindwa ng'amua mambo, bali akili zetu kutokukubaliana na uhalisia wa mabadiliko ya kisiasa, ndani ya nchi na nje ya nchi. Hata sasa hali ya kutokukubaliana na ukweli bado ipo, tunaona kabisa kuna muswada unaandaliwa USA ila mioyo ya viongozi wetu inaamini hilo nalo litapita, bila kuchukua hatua stahiki.

Mombo pamoja na ukongwe wake wizara ya mambo ya nje, diplomasia imemshindwa, intelligence na alama za nyakati kashindwa soma. Ni dhahiri tukiendelea na mwendo huu, siku si nyingi tunaenda rudia kauli ile ile ya hatukujua kama rungu la USA litatupiga ki namna hii.

Nini Kifanyike Kwa sasa: Kila mmoja atachangia mawazo yake, kila mmoja aheshimu mawazo ya mwenzake.

1. Raisi amrudishe Makamba wizara ya mambo ya nje, apewe jukumu moja tu la kurudisha mahusiano ya kidiplomasia kimataifa. (Nmeongea kikubwa, hata kama sio mbunge anaweza pewa ubunge, najua mpo mtaosema sio mbunge)

2. Raisi awapumzishe kazi mawaziri hawa (Kabudi & Mombo), bado wanaamini kwenye ubabe na sio remorse. watalicost taifa, yani akae mbali nao kabisa.

3. Lissu aachiwe unconditionally, alipwe compasation ya muda aliopotezewa na maumivu familia yake iliyoyapitia. Malipo yafanyike off the books. Pamoja naye zile kesi zilizotokana na uchaguzi, kabla na baada ya uchaguzi zote zifutwe.

4. Raisi ateue jopo la maridhiano ya kweli, litaloongozwa na magwiji wa Africa na Dunia, pia wawepo wazee wetu ambao bado wana nguvu kama Rais Kikwete, Mizengo Pinda, Dr. Slaa, Prof Lipumba, etc. Hawa wazee wet wanajua namna waliituliza Zanzibar baada ya machafuko ya 2001, basi wawe msaada kwenye kuliponya taifa. Wapo wengiunaweza waongezea na wewe.

Rais Samia, pamoja na yote yaliyotokea bado una nafasi ya kuliponya taifa, mwaka sasa umeshakatika, bado big agenda ni okt29, vyema hii agenda ingemalizwa ndani ya miezi 6, tukamove on na development agendas.
 
acha upotoshaji useless na mwepesi kama huu gentleman,

Tanzania ni taifa huru lisilofungamana na upande wowote wa duniani, na kwahivyo kamwe halitakwama kidiplomasia na halitakuja kukwama kulingana na muundo wa sera yake ya mambo ya nchi.

Tanzania inajitegemea kisiasa, kijamii na kiuchumi, na ilipambana yenyewe na kujipatia uhuru wake yenyewe na kwahivyo, hakuna na wala halipo taifa lolote duniani, lenye uwezo wa kuishurutisha au kuipangia Tanzania nini cha kufanya, hususani kwenye mambo yake ya ndani.

Ni muhimu sana hata kama ni mfuata mkumbo lofa namna gani, kupunguza au kuacha kabisa kua na mawazo au dhana potofu nonsense kama hizo na itapendeza zaidi 🐒
 
NI kweli Tanzania haifungamani na taifa lolote. Ila tunashirikiana na mataifa yote: Marekani pekee kwa mwaka anatoa Almost trillioni 2 inayoingia kwenye budget yetu. Trillion 2 kupotea kirahisi si jambo dogo, hayo yanaweza kuwa makusanyo ya taifa kwa mwezi mzima.

VIkwazo vitatuletea shida zisizo lazima, viongozi wetu watapigwa ban ingina US, hivyo hatutakuwa na uwakilishi UN.

Kampuni zinazotaka wekeza TZ zitarudi nyuma. Yani tutapoteza zaidi kuliko ya ubabe tunaoulinda.

As a nation, what do we loose kwa Sugu, Heche, Lema, Mnyika kuwa wabunge?

Ukila na kipofu usimshike mkono. Sisi wote ni wa tz, tuipende nchi yetu, tusipumbazwe tukagombana kwa mambo tunayoweza kaa mezani tukayamaliza wenyewe.
 
Aisee, huyu muuaji atarekebishaje mauaji aliyofanya? Alianza kuua hata kabla ya uchaguzi na mpaka juzi kuna msaidizi wa Lissu walipanga kumuua! CCM wangekuwa na akili wangefanya haya: 1. Samia angejiuzulu ili kuwajibika amwachie Nchimbi. 2. Ingeachia wafungwa wote wa kisiasa. 3. Ingewajibisha wakuu wote wa vyombo vya usalama. Ingemwomba mtu anayeaminika kama Wariaba na majaji wengine wafanye uchunguzi wa mauaji 4.

Ingeanza mchakato wa katiba mpya NB: Haya nimeandika kwa kujifanya mimi ni kama mwana CCM anayekipenda chama chake, lakini kiuhalisia jambo linalokubalika na tume huru ya kimaitaifa ya uchunguzi, Samia and co kufikishwa mahakamani na serikali ya mpito.
 
Wazo jema kabisa!
 
COMRED TLAATLAAH!
Habari? Kazi na Utu!
mimi nataka kusema machache kwenye hoja yako ya kidiplomasia na nitaomba kutofautiana na wewe!
kwanza kabisa Katika ulimwengu wa sasa, hakuna nchi inayojitegemea kwa 100% (absolute autarky), na utegemezi wa kibajeti na kiuchumi sio utumwa, bali ni uhalisia wa nchi zinazoendelea.
Huwezi kusema nchi "inajitegemea kiuchumi" wakati sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo inafadhiliwa na mikopo ya masharti nafuu na misaada kutoka nje.

Katika bajeti kuu za kila mwaka za Tanzania, takriban 30% hadi 40% ya bajeti ya maendeleo (miradi ya maji, barabara, afya, na elimu) inategemea fedha kutoka kwa Washirika wa Maendeleo (Development Partners) ikiwemo Benki ya Dunia (World Bank), IMF, na nchi wahisani (ikiwemo USA kupitia USAID).

tusisahau kuwa Marekani ina kura ya turufu (veto power) au ushawishi mkubwa sana ndani ya IMF na World Bank. Wakiamua kuweka "rungu" la vikwazo vya kiuchumi, wanaweza kuzuia idhini ya mikopo mipya na misaada, jambo ambalo litaleta mshtuko mkubwa kwenye fedha za kigeni na utekelezaji wa miradi ya ndani.

Mkuu unaposema "hakuna taifa lenye uwezo wa kuipangia Tanzania," unasahau kuwa biashara ya kimataifa inaendeshwa kwa mikataba. Marekani ikitupa vikwazo, haituhumu kwa maneno, inakata agreements zote na mikataba.
Unaifahamu kuhusu Hii mikataba?>
  • AGOA (African Growth and Opportunity Act): Huu ni mkataba unaoruhusu nchi za Afrika kuuza bidhaa zake (kama nguo na mazao) nchini Marekani bila ushuru. Marekani ikiondoa Tanzania kwenye AGOA (kama walivyofanya kwa mataifa mengine yaliyokiuka misingi ya kidemokrasia au haki za binadamu huko nyuma), viwanda vyetu vya ndani vinavyotegemea soko hilo vitafungwa, na maelfu ya Watanzania watapoteza kazi.
  • Misaada ya Sekta ya Afya (PEPFAR & Global Fund): Marekani ndio mfadhili mkuu wa mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu, na Malaria nchini kupitia PEPFAR. Mabilioni ya shilingi yanayoingia kwenye sekta ya afya kuokoa maisha ya Watanzania yanatoka huko. Kusema "tumejipatia uhuru na tunajitegemea" huku wagonjwa wetu wanategemea ARVs za bure kutoka kwa walipa kodi wa Marekani ni kujidanganya.
Sera ya mambo ya nje ya Tanzania kwa sasa imejikita kwenye Diplomasia ya Kiuchumi kutafuta masoko, wawekezaji, na watalii. Uhusiano mbaya wa kidiplomasia unaharibu "Country Risk Rating index" (Kielelezo cha hatari ya nchi). Marekani ikitoa tahadhari ya kiusalama au kisiasa (Travel Advisory), inaua sekta ya utalii papo hapo kwa sababu watalii wengi wa kiwango cha juu (high-spending tourists) wanaoingia Zanzibar na Serengeti wanatoka Marekani na Ulaya.Wawekezaji wakubwa wa kigeni (FDI) hawawezi kuleta mitaji yao kwenye nchi ambayo inagombana na mataifa makubwa yanayodhibiti mifumo ya kifedha duniani (kama SWIFT).

Ndugu yangu, uzalendo sio kufumba macho na kukataa ukweli wa kiuchumi (economic reality). Ndio, Tanzania ni taifa huru kisheria (sovereign state), lakini kiuchumi tuko kwenye ulimwengu unaotegemeana (interdependent world).
Kushindwa kwa diplomasia yetu kumesababisha mataifa makubwa kuanza kuandaa miswada ya kutuwekea vikwazo. Tukileta ubabe wa 'sisi ni taifa huru' bila kuangalia ukweli wa takwimu za kibajeti, tutakwama. Uhuru wa bendera hauwezi kulisha wananchi kama uchumi na mifumo ya fedha ikivurugika kwa sababu ya diplomasia mbovu. Ni vyema tukajadili mambo kwa ukweli wa takwimu (facts) na sio kwa hisia za kijasusi za kufikirika.

nimeandika maelezo mengi sana ila ninaunga mkono Uamuzi wa Waziri wa mambo ya nje, Aliposema kuna haja ya kukaa na wamarekani na kuongea nao vizuri kabla mambo hayajaharibika..

nikutakie Asubuhi njema
 
Naunga mkono hoja
 
Gentleman,
hata akitoa trilioni10 au zaidi huyo Marekani au nani sijui mwingine anaewabeba ufala wa kifikra,
haina maana anaweza kuiamulia, kuielekeza cha kufanya au kuishurutisha kwa chochote Tanzania huru iliyojikomboa yenyewe, tena kwa kujitegemea yenyewe kutoka mikononi mwa utumwa wa wakoloni.

hakuna aliewahi kuishurutisha Marekani au kwingineko unapopajua wewe kuchangia bajeti ya Tanzania.

Tanzania ina kiti UN sio kwasababu ya Marekani, na kwahivyo ni upotoshaji wa kiwango cha juu sana kuhusisha uwakilishi wa Tanzania UN na vikwazo useless vya Marekani kwa baadhi ya waTanzania ambao tena hawajawahi kufikiri au kua na ndoto, nia au malengo ya kwamba siku moja wanaweza kwenda Marekani. waende kufanya nini kwanza? Mbona kuna watu walienda huko Marekani wakadhani kuna maisha mazuri zaidi ya mbinguni wakaishia kufanya kazi ya kuogesha mbwa wa watu, kumenya na kukatakata vitunguu mahotelini na kuosha sahani za mahotelini, na hatimae wakarudi Tanzania na hawatamani tena kurudi huko? Muulizeni Sugu :pedroP:

hayao masuala ya uwekezaji,
kwani lazima wawekezaji watoke Marekani gentleman?
Mbona unawaza kimaskini hivyo gentleman?

nadhani hayo mengine ni porojo useless zilezile tu, hakuna haja kupotezeana muda:NoGodNo:
 
COMRED TLAATLAAH!
Habari? Kazi na Utu!
mimi nataka kusema machache kwenye hoja yako ya kidiplomasia na nitaomba kutofautiana na wewe!
kwanza kabiscts) na sio kwa hisia za kijasusi za kufikirika.

nimeandika maelezo mengi sana ila ninaunga mkono Uamuzi wa Waziri wa mambo ya nje, Aliposema kuna haja ya kukaa na wamarekani na kuongea nao vizuri kabla mambo hayajaharibika..

nikutakie Asubuhi njema
Umeeleweka mkuu,shida ya huyu tlaahtlaah yuko kichama zaidi!
 
NI kweli Tanzania haifungamani na taifa lolote. Ila tunashirikiana na mataifa yote: Marekani pekee kwa mwaka anatoa Almost trillioni 2 inayoingia kwenye budget yetu. Trillion 2 kupotea kirahisi si jambo dogo, hayo yanaweza kuwa makusanyo ya taifa kwa mwezi mzima.

VIkwazo vitatuletea shida zisizo lazima, viongozi wetu watapigwa ban ingina US, hivyo hatutakuwa na uwakilishi UN.

Kampuni zinazotaka wekeza TZ zitarudi nyuma. Yani tutapoteza zaidi kuliko ya ubabe tunaoulinda.

As a nation, what do we loose kwa Sugu, Heche, Lema, Mnyika kuwa wabunge?

Ukila na kipofu usimshike mkono. Sisi wote ni wa tz, tuipende nchi yetu, tusipumbazwe tukagombana kwa mambo tunayoweza kaa mezani tukayamaliza wenyewe.
Umemjibu kwa hekima sana ila ilo jinga @tlaatlaa sio la kulipa airtime
 
Aisee, huyu muuaji atarekebishaje mauaji aliyofanya? Alianza kuua hata kabla ya uchaguzi na mpaka juzi kuna msaidizi wa Lissu walipanga kumuua! CCM wangekuwa na akili wangefanya haya: 1. Samia angejiuzulu ili kuwajibika amwachie Nchimbi. 2. Ingeachia wafungwa wote wa kisiasa. 3. Ingewajibisha wakuu wote wa vyombo vya usalama. Ingemwomba mtu anayeaminika kama Wariaba na majaji wengine wafanye uchunguzi wa mauaji 4.

Ingeanza mchakato wa katiba mpya NB: Haya nimeandika kwa kujifanya mimi ni kama mwana CCM anayekipenda chama chake, lakini kiuhalisia jambo linalokubalika na tume huru ya kimaitaifa ya uchunguzi, Samia and co kufikishwa mahakamani na serikali ya mpito.
Hapo tupo kushauri yale yanayowezekana.

Swala la Rais kujiuzuli hilo ni ngumu, makosa yalishafanyika. Msamaha pekee unatosha kuheal vidonda vya waathirika.

Tukiwa na siasa za mrengo mkali hatutaweza fika popote kama taifa. Muhimu tukubali majanga yameshatokea, hakuna uwezekano wa kurudisha roho za wapendwa wetu. Hivyo tuanze na upya, tujifunze ili yasije tokea tena.
 
Gentleman,
hata akitoa trilioni10 au zaidi huyo Marekani au nani sijui mwingine anaewabeba ufala wa kifikra,
haina maana anaweza kuiamulia, kuielekeza cha kufanya au kuishurutisha kwa chochote Tanzania huru iliyojikomboa yenyewe, tena kwa kujitegemea yenyewe kutoka mikononi mwa utumwa wa wakoloni.

hakuna aliewahi kuishurutisha Marekani au kwingineko unapopajua wewe kuchangia bajeti ya Tanzania.

Tanzania ina kiti UN sio kwasababu ya Marekani, na kwahivyo ni upotoshaji wa kiwango cha juu sana kuhusisha uwakilishi wa Tanzania UN na vikwazo useless vya Marekani kwa baadhi ya waTanzania ambao tena hawajawahi kufikiri au kua na ndoto, nia au malengo ya kwamba siku moja wanaweza kwenda Marekani. waende kufanya nini kwanza? Mbona kuna watu walienda huko Marekani wakadhani kuna maisha mazuri zaidi ya mbinguni wakaishia kufanya kazi ya kuogesha mbwa wa watu, kumenya na kukatakata vitunguu mahotelini na kuosha sahani za mahotelini, na hatimae wakarudi Tanzania na hawatamani tena kurudi huko? Muulizeni Sugu :pedroP:

hayao masuala ya uwekezaji,
kwani lazima wawekezaji watoke Marekani gentleman?
Mbona unawaza kimaskini hivyo gentleman?

nadhani hayo mengine ni porojo useless zilezile tu, hakuna haja kupotezeana muda:NoGodNo:
Wewe chawa ungelikaa kimya tu kwani haujui chochote kwenye maswala ya uchumi wa dunia na ni nani anaushikilia kama hauoni hii hatari jaribu kusikiliza sauti za wabunge wako
 
Naomba tujikite kwenye kutoa ushauri.

Tusiwe na lugha za kejeli au matusi. Lets take this serious. Huwezi jua nani atasoma comment yako, na atachukuliaje ushauri wako.

Itakuwa vyema sana kama wote tukishiriki in a positive way kufanya taifa letu lisonge mbele.
 
COMRED TLAATLAAH!
Habari? Kazi na Utu!
mimi nataka kusema machache kwenye hoja yako ya kidiplomasia na nitaomba kutofautiana na wewe!
kwanza kabisa Katika ulimwengu wa sasa, hakuna nchi inayojitegemea kwa 100% (absolute autarky), na utegemezi wa kibajeti na kiuchumi sio utumwa, bali ni uhalisia wa nchi zinazoendelea.
Huwezi kusema nchi "inajitegemea kiuchumi" wakati sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo inafadhiliwa na mikopo ya masharti nafuu na misaada kutoka nje.

Katika bajeti kuu za kila mwaka za Tanzania, takriban 30% hadi 40% ya bajeti ya maendeleo (miradi ya maji, barabara, afya, na elimu) inategemea fedha kutoka kwa Washirika wa Maendeleo (Development Partners) ikiwemo Benki ya Dunia (World Bank), IMF, na nchi wahisani (ikiwemo USA kupitia USAID).

tusisahau kuwa Marekani ina kura ya turufu (veto power) au ushawishi mkubwa sana ndani ya IMF na World Bank. Wakiamua kuweka "rungu" la vikwazo vya kiuchumi, wanaweza kuzuia idhini ya mikopo mipya na misaada, jambo ambalo litaleta mshtuko mkubwa kwenye fedha za kigeni na utekelezaji wa miradi ya ndani.

Mkuu unaposema "hakuna taifa lenye uwezo wa kuipangia Tanzania," unasahau kuwa biashara ya kimataifa inaendeshwa kwa mikataba. Marekani ikitupa vikwazo, haituhumu kwa maneno, inakata agreements zote na mikataba.
Unaifahamu kuhusu Hii mikataba?>
  • AGOA (African Growth and Opportunity Act): Huu ni mkataba unaoruhusu nchi za Afrika kuuza bidhaa zake (kama nguo na mazao) nchini Marekani bila ushuru. Marekani ikiondoa Tanzania kwenye AGOA (kama walivyofanya kwa mataifa mengine yaliyokiuka misingi ya kidemokrasia au haki za binadamu huko nyuma), viwanda vyetu vya ndani vinavyotegemea soko hilo vitafungwa, na maelfu ya Watanzania watapoteza kazi.
  • Misaada ya Sekta ya Afya (PEPFAR & Global Fund): Marekani ndio mfadhili mkuu wa mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu, na Malaria nchini kupitia PEPFAR. Mabilioni ya shilingi yanayoingia kwenye sekta ya afya kuokoa maisha ya Watanzania yanatoka huko. Kusema "tumejipatia uhuru na tunajitegemea" huku wagonjwa wetu wanategemea ARVs za bure kutoka kwa walipa kodi wa Marekani ni kujidanganya.
Sera ya mambo ya nje ya Tanzania kwa sasa imejikita kwenye Diplomasia ya Kiuchumi kutafuta masoko, wawekezaji, na watalii. Uhusiano mbaya wa kidiplomasia unaharibu "Country Risk Rating index" (Kielelezo cha hatari ya nchi). Marekani ikitoa tahadhari ya kiusalama au kisiasa (Travel Advisory), inaua sekta ya utalii papo hapo kwa sababu watalii wengi wa kiwango cha juu (high-spending tourists) wanaoingia Zanzibar na Serengeti wanatoka Marekani na Ulaya.Wawekezaji wakubwa wa kigeni (FDI) hawawezi kuleta mitaji yao kwenye nchi ambayo inagombana na mataifa makubwa yanayodhibiti mifumo ya kifedha duniani (kama SWIFT).

Ndugu yangu, uzalendo sio kufumba macho na kukataa ukweli wa kiuchumi (economic reality). Ndio, Tanzania ni taifa huru kisheria (sovereign state), lakini kiuchumi tuko kwenye ulimwengu unaotegemeana (interdependent world).
Kushindwa kwa diplomasia yetu kumesababisha mataifa makubwa kuanza kuandaa miswada ya kutuwekea vikwazo. Tukileta ubabe wa 'sisi ni taifa huru' bila kuangalia ukweli wa takwimu za kibajeti, tutakwama. Uhuru wa bendera hauwezi kulisha wananchi kama uchumi na mifumo ya fedha ikivurugika kwa sababu ya diplomasia mbovu. Ni vyema tukajadili mambo kwa ukweli wa takwimu (facts) na sio kwa hisia za kijasusi za kufikirika.

nimeandika maelezo mengi sana ila ninaunga mkono Uamuzi wa Waziri wa mambo ya nje, Aliposema kuna haja ya kukaa na wamarekani na kuongea nao vizuri kabla mambo hayajaharibika..

nikutakie Asubuhi njema
Gentleman,
uko sahihi kwa sehemu kubwa kwenye ufafanuzi wako, uemejieleza vizuri, lakini umejikita zaidi kwenye tuvitu tudogotudogo sana, na umekwepa vyema kuifanya Marekani kama kitisho kwa uhuru wa Tanzania bali, umeeleza kwa ujumla nguvu ya Marekani dhidi ya international institutions mathalani za kifedha duniani kwamba hizo zinaweza kushurutishwa na Marekani kuibinya Tanzania au taifa jingine lolote, right? Ingawa pia ni ngumu sana,

Jambo la pili,
mimi sijaeleza ikiwa Tanzania inajitegemea kwa 100% katika jambo fulani specifiki, na hakuna nchi ya aina hiyo kote ulimwenguni ikiwa ni pamoja na Marekani yenyewe. Tanzania ilipambania uhuru wake yenyewe bila msaada wa Marekani na hatimae ikawa huru kisiasa, kiuchumi na kijamii, na kwahivyo hakuna taifa lolote ulimwenguni linaweza kuipangia Tanzania cha kufanya hususani kwenye mambo yake ya ndani. Tunajitegemea katika kulijenga na kulilinda taifa letu wenyewe. Tunashirikiana na mataifa mengine kwenye masuala mahususi mengine. Mambo ya ndani ya Tanzania tuna deal nayo kama waTanzania, hakuna kwa kutushurutisha.

Halafu,
ni vizuri kuelewa kwamba mikopo sio hisani gentleman,
mkopo unakopeshwa kwasababu una uwezo wa kiuchumi wa kulipa unachokopa. Kwahiyo Tanzania tunajitegemea kiuchumi kwa kiwango kikubwa sana kama nchi nyingine tu Africa na duniani kote, na hakuna muhisani hata moja aliewahi kulazimishwa achangie bajeti ya Tanzania na hilo halitakuja kuwahi kutokea Tanzania. Hata huyo Marekani mwenyewe hana uwezo wa kufadhili bajeti yake yenyewe, bila kukopa na hivyo ndivyo chumi duniani zilivyo.

hayo mengine ndio yale nimesema nimesema mwanzo kabisa kwamba ni mambo madogo madogo nadhani sna haja ya kuyaelezea sana.

kwani gentleman,
ikiwa kuna raia kadhaa wa taifa fulani wamewekewa vikwazo mathalani na Marekani, hatua hiyo inahusiana vipi na mikataba ya mabilioni ya fedha ya uwekezaji katika taifa hilo iliyoingiwa kabla au hata wakati mtu au watu hao binafsi wanawekewa vikwazo?
Kwa mfano leo hii pale DRC,
Rais Joseph Kabila kawekewa vikwazo na Marekani, Je mikataba na miradi ya mabilioni ya fedha iliyoiniwa baina ya DRC na Marekani inaathirika vipi sasa kuendelea kwa mfano?

Jambo la mwisho kwasababu hayo mengine ni madogo madogo na si muhimu sana kwasabau hayana athari, ispokua za kihisia. Lakini,
ni vizuri kuelewa na kufahamu kwamba, diplomasia ya Tanzania kamwe haijawahi kua ya kibabe, na tangu kaunzishwa kwa sera ya mambo ya nje, dipolmasia ya Tanznia imejengwa katika msingi imara wa NEUTRALITY na hivyo haijawahi kushindwa kuzaa matunda chanya popote ulimwenguni na kwenye jambo lolote lile.

Na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan haitakawia hata sekunde moja kuchukua hatua muafaka na za makusudi za kidiplomasia, ikipata taarifa sahihi za kimaandishi kutoka kwa serikali ya Marekani kuhusu kinachoenezwa na pengine kupotooshwa mitandaoni. Na nchi yetu ilivyo na uzoefu wa kidiplomasia duniani kwa muda mrefu, hakuna hata jambo moja tunaweza kushindwana na Marekani au taifa jingine lolote duniani ikiwa kuna jambo lenye maslahi mapana kwa wananchi wa pande zote mbili.

Mungu Ibariki Tanzania :NoGodNo:
 
Samia ni kiongozi dhaifu sana kupata kutokea katika historia ya taifa hili na mbaya zaidi washauri wake wanaomzunguka wanamuogopa na hawataki kumwambia ukweli ili kupata suluhu ya mkwamo tulionao kama taifa
Samia ameunda tume lakini baada ya kazi ya miezi kadhaa tume imekuja na majibu yaliongeza tatizo badala ya kupata ufumbuzi wa tatizo.shida ya serikali batili ya samia ni kuhisi kwamba wakibuytime watanzania watasahau kilichotokea tar29 na maisha yataresume as usual
Samia ni incompetent leader ajiuzulu iundwe tume huru uchaguzi mwngn uitishwe tupate raisi mpya iundwe serikali mpya katiba mpya tuanze moja
 
Wewe chawa ungelikaa kimya tu kwani haujui chochote kwenye maswala ya uchumi wa dunia na ni nani anaushikilia kama hauoni hii hatari jaribu kusikiliza sauti za wabunge wako
jikite kwenye hoja bila kuweweseka, itakusaidia sana gentkleman kuliko kumbwelambwela nonsense jukwaani :NoGodNo:
 
Gentleman,
uko sahihi kwa sehemu kubwa kwenye ufafanuzi wako, uemejieleza vizuri, lakini umejikita zaidi kwenye tuvitu tudogotudogo sana, na umekwepa vyema kuifanya Marekani kama kitisho kwa uhuru wa Tanzania bali, umeeleza kwa ujumla nguvu ya Marekani dhidi ya international institutions mathalani za kifedha duniani kwamba hizo zinaweza kushurutishwa na Marekani kuibinya Tanzania au taifa jingine lolote, right? Ingawa pia ni ngumu sana,

Jambo la pili,
mimi sijaeleza ikiwa Tanzania inajitegemea kwa 100% katika jambo fulani specifiki, na hakuna nchi ya aina hiyo kote ulimwenguni ikiwa ni pamoja na Marekani yenyewe. Tanzania ilipambania uhuru wake yenyewe bila msaada wa Marekani na hatimae ikawa huru kisiasa, kiuchumi na kijamii, na kwahivyo hakuna taifa lolote ulimwenguni linaweza kuipangia Tanzania cha kufanya hususani kwenye mambo yake ya ndani. Tunajitegemea katika kulijenga na kulilinda taifa letu wenyewe. Tunashirikiana na mataifa mengine kwenye masuala mahususi mengine. Mambo ya ndani ya Tanzania tuna deal nayo kama waTanzania, hakuna kwa kutushurutisha.

Halafu,
ni vizuri kuelewa kwamba mikopo sio hisani gentleman,
mkopo unakopeshwa kwasababu una uwezo wa kiuchumi wa kulipa unachokopa. Kwahiyo Tanzania tunajitegemea kiuchumi kwa kiwango kikubwa sana kama nchi nyingine tu Africa na duniani kote, na hakuna muhisani hata moja aliewahi kulazimishwa achangie bajeti ya Tanzania na hilo halitakuja kuwahi kutokea Tanzania. Hata huyo Marekani mwenyewe hana uwezo wa kufadhili bajeti yake yenyewe, bila kukopa na hivyo ndivyo chumi duniani zilivyo.

hayo mengine ndio yale nimesema nimesema mwanzo kabisa kwamba ni mambo madogo madogo nadhani sna haja ya kuyaelezea sana.

kwani gentleman,
ikiwa kuna raia kadhaa wa taifa fulani wamewekewa vikwazo mathalani na Marekani, hatua hiyo inahusiana vipi na mikataba ya mabilioni ya fedha ya uwekezaji katika taifa hilo iliyoingiwa kabla au hata wakati mtu au watu hao binafsi wanawekewa vikwazo?
Kwa mfano leo hii pale DRC,
Rais Joseph Kabila kawekewa vikwazo na Marekani, Je mikataba na miradi ya mabilioni ya fedha iliyoiniwa baina ya DRC na Marekani inaathirika vipi sasa kuendelea kwa mfano?

Jambo la mwisho kwasababu hayo mengine ni madogo madogo na si muhimu sana kwasabau hayana athari, ispokua za kihisia. Lakini,
ni vizuri kuelewa na kufahamu kwamba, diplomasia ya Tanzania kamwe haijawahi kua ya kibabe, na tangu kaunzishwa kwa sera ya mambo ya nje, dipolmasia ya Tanznia imejengwa katika msingi imara wa NEUTRALITY na hivyo haijawahi kushindwa kuzaa matunda chanya popote ulimwenguni na kwenye jambo lolote lile.

Na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan haitakawia hata sekunde moja kuchukua hatua muafaka na za makusudi za kidiplomasia, ikipata taarifa sahihi za kimaandishi kutoka kwa serikali ya Marekani kuhusu kinachoenezwa na pengine kupotooshwa mitandaoni. Na nchi yetu ilivyo na uzoefu wa kidiplomasia duniani kwa muda mrefu, hakuna hata jambo moja tunaweza kushindwana na Marekani au taifa jingine lolote duniani ikiwa kuna jambo lenye maslahi mapana kwa wananchi wa pande zote mbili.

Mungu Ibariki Tanzania :NoGodNo:
Maelezo mengi useless, gentleman!
 
Back
Top Bottom