Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
hakuna nchi inafanya biashara pekeyake gentleman,Ngoja nikupe mfano kama Tanzania tungekuwa tunafanya mambo yetu kwa uhuru tungekuwa mbali sana.nakupa mfano kwenye Engo ya uchumi.nchi za kiafrika zime wekewa mfumo ziwe wazalishaji wa raw materials za viwanda vya ulaya,Marekani na nchi kama china.huo mfumo ndo unaosababisha tuwe tunasuasua kwenye kuwa na maendeleo ya kweli ya viwanda.tunatakiwa kuwa na viongozi wenye akili sana kama wa kiasia sio hawa vilaza kama Samuya ili kuzishinda mifumo kandamizi.Ndo maana utakuta tunamadini mengi za kuzalisha vifaa vya umeme lakini ukienda Dukani kila kitu ni made in china.
but hiyo haihusiani kabisa na uhuru wa nchi kufanya mambo yake mengine kibinafsi na kwa uhuru kama demokrasia, utawala bora, uwazi na uwajibikaji n.k na ndio maana kama taifa tupo hapa tulipo.
Hakuna taifa duniani linaweza kutuelekeza Tanzania tufanye uchaguzi au tusifanye 🐒

