Je, nini kifanyike ili kama Taifa tutoke kwenye mkwamo wa kidiplomasia duniani?

hakuna nchi inafanya biashara pekeyake gentleman,

but hiyo haihusiani kabisa na uhuru wa nchi kufanya mambo yake mengine kibinafsi na kwa uhuru kama demokrasia, utawala bora, uwazi na uwajibikaji n.k na ndio maana kama taifa tupo hapa tulipo.

Hakuna taifa duniani linaweza kutuelekeza Tanzania tufanye uchaguzi au tusifanye πŸ’
 
Hivi wewe unaakili timamu kweli?mifumo yetu yote ya uchumi,utawala Nk na niwao wameamua iwe hivi.nitajie jambo tunalolifanya sisi bila kufuata miongozo au mifumo yao?
Tunasimamia, tunaendesha na kugharamia chaguzi zetu huru, za haki na za wazi bila kushurutishwa, kuelekezwa au kuomba msaada wa yeyote yule duniani. Tunafanya wenyewe by 100%.Full stop πŸ’
 
Tunasimamia, tunaendesha na kugharamia chaguzi zetu huru, za haki na za wazi bila kushurutishwa, kuelekezwa au kuomba msaada wa yeyote yule duniani. Tunafanya wenyewe by 100%.Full stop πŸ’
Kwenye uchaguzi mnafanya ujambazi tu Tanzania hakuna uchaguzi Huru na za haki na za wazi.pia mfano uchaguzi uliopita mliweka zile vyslama feki ili kufeki kuonesha kuwa kuna democracy.
 
Tunasimamia, tunaendesha na kugharamia chaguzi zetu huru, za haki na za wazi bila kushurutishwa, kuelekezwa au kuomba msaada wa yeyote yule duniani. Tunafanya wenyewe by 100%.Full stop πŸ’
Hivi unajua nini kilifanya Nyerere na mwinyi kuamua Tanzania kuwa nchi ya vyama vingi?ni wao baada ya kuomba msaada kila kitu wamesababisha wao.
 
Hivi unajua nini kilifanya Nyerere na mwinyi kuamua Tanzania kuwa nchi ya vyama vingi?ni wao baada ya kuomba msaada kila kitu wamesababisha wao.
Gentleman,
mambo ya Nyerere unayaongelea leo, surely?

Alishatupambania akatuapatia uhuru na sisi tuna jukumu la kufurahia na kuendeleza uhuru huo. Full stop πŸ’
 
Gentleman,
mambo ya Nyerere unayaongelea leo, surely?

Alishatupambania akatuapatia uhuru na sisi tuna jukumu la kufurahia na kuendeleza uhuru huo. Full stop πŸ’
Mambo ya Nyerere yataongelewa daima ndo misingi ya hii nchi.
 
Sio kweli Nyerere hakutaka machawa,wala rushwa na wauaji.wewe unaishi humo
masuala ya unyumbu, sijui wafuata mkumbo n.k,
hizo ni dhana potofu zisizo na athari yoyote kijamii, kisiasa au kiuchumi gentleman, na kwahivyo ni kitu useless kabisa
 
Mkuu unaelewa maana ya Veto power ? Je ni mataifa yote duniani Yana kiti pale UN?
 
Mkuu unaelewa maana ya Veto power ? Je ni mataifa yote duniani Yana kiti pale UN?
sasa veto power inahusu nini Tanzania gentleman? 🀣

kwamba inahusika kwenye bilateral agreements kati ya Marekani na Tanzania, right?🀣

ndio,
kila taifa lina kiti UN,
so what kwa mfano?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…