Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Hivi kushikwa shikwa nikweli matiti yanakuwa makubwa au ni dhana tu
 
Tuma picha ya titi lililolegea na la saa sita wa mikoani hatujui tofauti
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Tuma picha ya titi lililolegea na la saa sita wa mikoani hatujui tofauti
IMG_20170328_072504.jpg
 
mimi pia ni muhanga.
sijazaa ila nna maziwa makubwa,yamelainika yenyewe tu.
nina asili ya maziwa makubwa.. na kila nnavonenepa ndivyo na yenyewe yanajaa wakati mwingine yanajaa mpaka yanauma kabisa.

nikikonda nayo yanapwaya yanakua kawaida. j
nna watu nawafahamu ni malaya wa kutupwa ila wanavichuchu, yani hawana maziwa makubwa na wengine madogo kabisa.
mimi sina hizo tabia ila nna miziwa imejaa
Natamani kufanya mazoezi naamini yatapungua ila sijui nianzie wapi, maana nataka nipate pa kufanyia mazoezi kama mahala wachezapo netball,basket nk
njoo tufanye mazoezi ufukwenu huku
 
inaonekana una chura likubwa pia![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom