Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

Waliposema papa anasapoti ushoga mlishangilia sana Sasa Leo BBC imewapa kibano manalialia kama mbwa
 
Usituchoshe na dini zenu za kitapeli, endeleeni kuoigani 🖕🖕🌈🌈
 
TB ni nabii wa uongo Hilo lipo wazi hata kama BBC bila kumchafua.
Halafu BBC eyes sio sawa na media za udaku wale Wana ushahidi hawasemi uongo.
BBC eyes documentary zao huwa na ushahidi hata mahakamani wanakushinda.
 
BBC wanatoa habari za kweli hizi nguvu unazotumia ungetumia kupambana na Papa aliewaruhusu ushoga wanaume kwa wanaume muowane na muende kanisani mkabarikiwe
Kama Papa angekua amesingiziwa angekanusha hizo habari au kuwashtaki Bbc
 
Tueleze elimu yako, umewahi kutembelea nchi ngapi, umewahi kufanya tafiti ngapi na unajua kuongea vizuri sana lugha ngapi za kimataifa, hii itatusaidia kuuamini utafiti wako.
 
BBC wamesema kipi tofauti na alichosema Papa kuhusu ushoga??
Kama BBC wamepotosha Maaskofu mbalimbali wa Nchi za Africa kwa nini walitokwa na povu kuhusu waraka wa Papa??
 
sawa ata kama nchi za kiislam zina mashoga wengi,lakini,taasisi ya kiislam ktk mamlaka yake ya juu,haijatoa TAMKO kwamba mashoga wanastaili kuhudumiwa{mimi ni mkristo msema kweli],lakini sisi wakristo,au wakatoliki,ata kama hamna mashoga,lakini mkuu we2 wa ngazi za juu kabisa PAPA sijui NYANGUMI kasema!!!"makasisi wawabariki MASHOGA"!!!
 
BBC wamesema kipi tofauti na alichosema Papa kuhusu ushoga??
Kama BBC wamepotosha Maaskofu mbalimbali wa Nchi za Africa kwa nini walitokwa na povu kuhusu waraka wa Papa??
Kwani hata hao maaskofu walisema kipi ambacho kilikuwa kimeandikwa kwenye Declaration? Hata walichosema maaskofu si BBC ndio waliosema maaskofu wampinga Papa? Au kama una waraka wa maaskofu wowote ambao wamepinga waraka uweke hapa tuone kama walichokisema ni kile kilichoandikwa kwenye Declaration. Nasubiri uweke waraka wa baraza lolote la Maaskofu Afrika ambao wamepinga hiyo Declaration. Maani ni vizuri tukaongea kwa data (facts) kuliko mambo ya kubuni kichwani au mihemko.
 
Waislam Huwa wamenyooka sana Kwa misimamo ya Imani yao,kufikia wakati kuitwa magaidi,Wakristo mnapoambiwa ukweli ni wagumu Kwa kuwa mmeshawafanya binadamu wenzenu miungu na Dunia kuwakamata mpaka hamuoni Wala kusikia,hiyo ndio shida ya kutegemea binadamu wenzenu.
 
Sio rahisi BBC kutoa kashifa za uongo because of the legal consequences. Hii ni habari imetoka after thorough investigation, na kubaini TB Joshua alikuwa tapeli, mwizi, mbakaji, muuza ndaga na muuaji.
Ogopa sana matapeli wa Nigeria
BBC walishawahi kuripoti kwamba wachina wamepewa kibari kufungua vituo vya polisi Tanzania
 
kula konyagi kubwa braza!
 
Waliposema papa anasapoti ushoga mlishangilia sana Sasa Leo BBC imewapa kibano manalialia kama mbwa
Mimi sina mda wa haya
Changia hoja kwa heshima
Hata kuhusu ushoga wengi tulichangia lakini kuita watu mbwa unakosea sana
Huu ni mjadala huru wa bila matusi, heshima wenzio
Hapa uk kuna BBC TV na radio zaidi ya 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…