Hujanipuuza bado, ndiyo maana umenisoma na ukanijibu.Atheist usiyejuwa maana ya Atheist nishakupuuzaga kitambo, silishangai jibu lako ila nikukumbushe we sio atheist we ni brainwashed mmoja unayejikuta unawazuzua wabongo kumbe tunakuchora tu, afu kuna sii wamatumbi hatujawahi hata kuvuka boda tunakuona we pimbi tu
Na wewe huelewi ninachokisema:Maaskofu walikua wanapinga nini mbona hawajawahi kupinga kabla mpaka papa alipoongea?
Msingi wa 'argument' ni Papa kusema "barikini ndoa za mashoga" ambayo nimeuliza imeandikwa katika paragraph gani kati ya 1 na 45 ya Declaration au maaskofu wa Afrika kufafanua kuhusu Declaration na upotoshaji unaoendelea na kisha kusisitiza kwamba Kanisa Katoliki wala wao wenyewe hawawezi na hawataweza kubariki ndoa za mashoga? Wewe hapo tatizo lako ni nini? Mwanzoni si hao BBC walisema "Kanisa Katoliki linatambua ndoa za mashoga" na waraka wa Kanisa ulipotoka kwamba "Kanisa Katoliki linatambua ndoa ya mume na mke mmoja yenye uwezekano wa kupata watoto" ndipo sasa wamegeukia kwenye "kubariki ndoa za mashoga"? Bila kuwa na akili timamu huwezi kusoma huo waraka na kuelewa unasema nini, lazima utapotosha tu au kuandika mawazo yako. Na ndiyo maana nasema tuandike kwa data/facts/evidence kutoka katika waraka husika. Leteni paragraph yoyote (1-45) inayosema "barikini ndoa za mashoga". Nasubiri tena.BBC wamesema kipi tofauti na alichosema Papa kuhusu ushoga??
Kama BBC wamepotosha Maaskofu mbalimbali wa Nchi za Africa kwa nini walitokwa na povu kuhusu waraka wa Papa??
Ni kweli. Ila wanawapotosha watu wengi (innocent). Jana nilikuwa naongea na wife (naye alikuwa ameshapotoshwa) hadi nilipompa dondoo za waraka husika ndipo akaona tofauti. Lakini akaniambia hata rafiki yake mmoja (mke wa jirani yetu) naye ni Mkatoliki baada ya kusikia huu uwongo wa wazushi na hasa BBC akaamini ni kweli Papa analipeleka Kanisa Katoliki kusiko. Mume wake ni wa KKKT, ila yeye ni Mkatoliki. Nilikutana na mume wake nikampa huo waraka ausome na kesho yake alinipa mrejesho chanya, akisema "kumbe watu wanapotosha huu waraka makusudi." Mke wake anaamini BBC wakitoa habari ni za kweli (ndivyo huyo rafiki wa mke wangu alivyomwambia), lakini mimi nikamuuliza wife, "kwani BBC ni wasemaji wa Kanisa Katoliki?" Nikampa mfano kwamba, ukitaka kujua Rais wa Tanzania amesema nini kuhusu jambo fulani linalowahusu Watanzania, habari zake utazisoma wapi, gazeti la Rwanda au Burundi? Au utaenda kwenye tovuti ya Ikulu au vyombo vya habari vya serikali kama TBC, Daily News au HabariLeo? Nikaendelea kumuuliza: "Ukitaka kujua habari za Chadema wanafanya maendeleo gani, habari sahihi utazipata wapi? Gazeti la Musiba la Tanzanite? Gazeti la CCM la Uhuru, Mzalendo au Channel 10? Nikarudi kwa vyanzo vya habari vya Kanisa Katoliki: nikamtajia Vatican News, CNA (Catholic News Agency) na EWTN (kwa kutaja vichache)...kwa hapa Tanzania gazeti la Tumaini Letu, Kiongozi, Tumaini TV etc. Kwa nini watu hata kama watasoma habari BBC, DW, CNN na AL Jazeera wasi'cross-check' na vyanzo vya habari vya Kanisa Katoliki kujiridhisha? Kwa nini watu wanapenda kueneza uwongo zaidi kuliko ukweli wa jambo? Ukiwaambia hao wapotoshaji walete vifungu au paragraphs za waraka uliotolewa (una paragraphs 45) wataje hata paragraph moja ambayo papa anasema "barikini ndoa za mashoga", nimeuliza tangu mwanzo hadi leo hakuna mtu yeyote ambaye ameniletea. This means wanaeneza uzushi tu wasioweza kuusimamia. Hopeless kabisa and shame upon them!Upeo mdogo ndio tatizo la wengi ukichanganyika na mihemko ya kishabiki, hawa watu sio wa kuhangaika nao, ni kuwatazama tu waendelee kujifurahisha wanavyotaka.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hujaweka ushahidi, ni porojo tu, jibu hoja kwa hoja, BBC wameonyesha "miujiza" Ya, kuchonga ya marehemu, sasa wewe thibitisha uongo wao,acha kujificha nyuma ya manenoHakuna kama Yehova,
1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,
2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%
3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,
4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,
5. Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,
6. Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,
7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa jakobo etc
#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC
😄😄😄😄 Waislamu bwana wanaogopa vitu vya Duniani kuliko Mbinguni kwenye maisha ya mileleWaislam ni kweli kuna mashoga lakini hakuna kiongozi wa waislam alieruhusu kwamba waumini wao wanaruhusiwa kufanya hayo matendo hila ni baadhi ya wasiokuwa na akili timamu wameamua kuwa mashoga hila nyinyi wenzetu mmeruhusiwa na kiongozi wenu papa lakini nnashangaa mnampinga huo ujasiri sijui mnatoa wapi kumpinga kiongozi wenu,kama ww mtoa mada unatakiwa uwe mfano kuwa na nidhamu kufuata unachoambiwa na kiongozi wako utafute bwana uolewe
Sasa nyie Endeleeni kuwaabudu hao wanaojiita manabii au wachungaji badala ya kumuabudu Mungu.wataendelea kuwafanyia vitendo viovu.Mimi ni mkristo but i'm loyal to God and Jesus only.sasa nyie endeleeni kuwaabudu hao manabii wenu.BBC hawawezi kutoa habari ya uongo ili wasijaribu image yao.Hakuna kama Yehova,
1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,
2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%
3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,
4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,
5. Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,
6. Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,
7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa jakobo etc
#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC
Wewe umepotea, tutajie hayo manyanyaso ambayo Tb Joshua alifanya kwa hao walioenda kuombewa kwake ili tuangalie uhalisia wa jambo hiloWewe ni tahira. Brain washed.
Jitahidi kuuzoesha ubongo wako kukubali mabadiliko.
TB Joshu na manabii wengine wahuni tuliwaonya kuwa ni mawakala wa Ibilisi mkabisha. BBC wamefanya uchunguzi wa kibinadsmu bado hamuamini
#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC
Hata me nimegundua kuwa wewe unachuki/ unawashwa juu ya Uislam na waislam kwa ujumla.Hakuna kama Yehova,
1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,
2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%
3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu wa Wakristo duniani,
4. Kwa Ukubwa nikabaini ni chombo chenye mafungamo ya karibu na dini ya kiisilamu na kwambali na Uanglikana,
5. Pamoja na nchi za kiisilamu kuwa na wimbi baya la Ushoga na mashoga bado BBC imeelekeza nguvu kupambana na Kanisa Katoliki ili kujaribu kuiaminisha Dunia kuwa Katoliki inavutia Ushoga,
6. Sasa BBC imemvaa marehemu TB Joshua ili tu kujaribu kusambaratisha Kanisa la Mungu "The Church of all Nations" liliko Lagos Nigeria,
7. Nimebaini jambo pekee wanaloweza kulifanya Wakristu ni kuhakikisha BBC inakufa kwani imejipa kazi ya kupambana na Mungu wa Ibrahim na Isaka, Mungu Elia na Elisha, Mungu wa TB Joshua na Mungu wa jakobo etc
#Nashauri wakrisho wote tususie hiki chombo Cha habari Cha BBC
Kwani we ni Muislam, au ni mtu wa mwambao wa pwani?Mbna mashoga wengi ni waislamu na wanapatikana ukanda wa pwani na mwambao wa uarabuni
UKWELI MCHUNGU KULIKO MSUMARI KWENYE KIDONDAKitambo sana nilishaachana na kuifuatilia BBC, Habari ziko Al Jazeera,
Pale BBC Kila mtu ni shoga wanaupenda Ushoga balaa
Hata mimi naona BBC na ushoga damudamu na kwa sasa wamegeuka kuwa wasemaji wa Kanisa Katoliki hata kuliko sources of information of Kanisa Katoliki kama vile Vatican News, CNA (Catholic News Agency) au EWTN. Na hasa wanaweka mlengo wao mbele zaidi kuliko ukweli wa habari husika. Mfano, wachangiaji wengi wanaochangia kuhusu Papa alichosema kuhusu ushoga na ndoa za mashoga wanachukua maoni ya BBC zaidi kuliko Declaration (Fiducia Supplicans). Na pia document imeongelea watu walio katika 'irregular marriage", lakini hawa BBC haijawagusa kabisa kwa sababu mlengo wao ni ushoga (sijui ni kampeni pia?).
Nashangaa wanajaribu kumsafisha marehemu. Wanadhani BBC ni sawa na TBC.TB ni nabii wa uongo Hilo lipo wazi hata kama BBC bila kumchafua.
Halafu BBC eyes sio sawa na media za udaku wale Wana ushahidi hawasemi uongo.
BBC eyes documentary zao huwa na ushahidi hata mahakamani wanakushinda.
kuna watu waliamini kuwa tb joshua ni kama Yesu Kristo duniani.Sasa nyie Endeleeni kuwaabudu hao wanaojiita manabii au wachungaji badala ya kumuabudu Mungu.wataendelea kuwafanyia vitendo viovu.Mimi ni mkristo but i'm loyal to God and Jesus only.sasa nyie endeleeni kuwaabudu hao manabii wenu.BBC hawawezi kutoa habari ya uongo ili wasijaribu image yao.
Sasa kati ya BBC na TB JOSHUA nani anaeneza Ushoga?BBC, kimsingi hamuwezi kupambana na Chombo cha Shetani funikeni tu makombe mashoga wapite.
Nadhani tumwache Mzee wa watu apumzike kwa amani,TB Joshua kabaka sana wanawake kwenye Kanisa lake Watanzania kibao kawatafuna.