The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mbona hueleweki? Unataka gari au chombo cha uchukuzi? Maana umesema unataka gari ila umetaja vyombo vya uchukuzi!JF magari, habari?
Heri ya mwaka mpya wakuu...
Hapa ndio pakuanzia kabla ya kumshauri..Kwa sasa hivi unatumia gari gani?
VanguardKwa sasa hivi unatumia gari gani?
Basi chukua FortunerVanguard
Kwa nini umeshauri hivyo mkuuAudi Q5
Kwa nini umeshauri hivyo mkuuBasi chukua Fortuner
Utakuwa umepanda cheo mkuu. Afu mtindo wa service na vipuri utaenda kwenye maduka yaleyale na mafundi/gereji zilezile...Kwa nini umeshauri hivyo mkuu
Yes, lengo langu ni SUV, siwezi kununua sedan kwa sababu ya body size yangu.chukua mzungu nadhani mfuko wako unatosha kuhimili uhalisia wa maisha,my suggestions chukua VW Toureg or AUDI Q5 in case umelenga SUVs
Chukua unayoipenda wwJF magari, habari?
Heri ya mwaka mpya wakuu.
Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia)
Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner.
Gari zote ni angalau kuanzia 2011.
Naomba maoni yenu wakuu, nivute chuma gani hapo?
Ahsante.
JF magari, habari?

🤣🤣🤣