Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wakenya wananunua gari nyingi SA kwa sababu Nchi yao imepunguza miaka ya magari yanayohitajika kuingia na wakiangalia kutokana na wao wana kipato kikubwa wanaona SA gari zipo bei rahisi hata mimi wateja wangu wengi ni Wakenya na pia Nchi yao parts nyingi zipo na hawaulizani ulizani anunue gari gani kama kwetu kwa sababu ya kodi zipo juu sana..Wakenya wengi sasa hivi wananunua magari South; yaani wamejua kutumia unafuu wa kodi kea kutumia SADC. Hebu tupe shule kidogo hapa.