Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kuna unafuu flani wanaupata wakinunua magari SA kuliko JapanKenya hawapo SADC ila wapo COMESA, SA wapo SADC, sasa labda wananunua nchi za Comesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna unafuu flani wanaupata wakinunua magari SA kuliko JapanKenya hawapo SADC ila wapo COMESA, SA wapo SADC, sasa labda wananunua nchi za Comesa.
Kwa kiasi kikubwa upo sahihi ila bado naongelea suala la kuwa na kipato kidogo.Hapana kutokua na vitu vingi ni lundo la kodi na pia kukomalia vitu vichache kuona tuna vitu angalia tuu hapo Nairobi bidhaa zilivyo za kutosha au Lusaka Zambia sasa Tanzania wana mfumo eti polisi sijui na TRA wanakimbizana na mifuko ya risiti ni Nchi gani huo upuuzi upo? Hao wakija Bree street wanaweza kufa maana watu wanauza jumatatu mpaka jumatatu kinachozingatiwa ni kodi ya kuingiza mzigo nayo huwezi kukwepa Tanzania bidhaa zinaingia kwa masharti kibao makodi ya kutosha kwenye kuuza muuzaji anatishiwa tena kamata kamata Nchi nzima wakati huku nimetumiwa ujumbe wa kunishukuru kulipa kodi ya mwaka jana na kama pana tatizo lolote niwaone...vitu vingi vipo madukani Tanzania hasa Tv unaiona mpya ila toleo la zamani hasa kwa haya majina makubwa...kuishi vizuri tunaona kama anasa sio watu wanatakiwa waishi vizuri kwa kutumia kipato kidogo kupata bidhaa nzuri..
SADC wana kitu kinaitwa "Certificate of Origin".Kuna unafuu flani wanaupata wakinunua magari SA kuliko Japan
Mkuu nilikua Nairobi wiki iliyopita nimeona Electronics ni ya kumwaga kama tupo SA ni maeneo mengine wao wana vitu vingi...hizo IPhone 13 ni dollar 1000 tuu Nairobi,SA hata Dubai bei ni hiyo kwa hiyo sio watumie hizo simu zipo matoleo mengine mengi tuu na bei sio kubwa kivile Mkuu naposema hizi Nchi watu wanatumia vitu vizuri sio kwamba tunanunua bei kubwa hapana tunajua vinapatikana wapi na kwa bei nafuu Tanzania vitu bei kubwa kwa sababu ya kodi kubwa kama Watanzania wananunua kitu kilichonunuliwa SA kwa bei kubwa wasingeshindwa kununua kama vingekuwepo Tanzania kwa bei nafuu ambacho kililipwa kodi nafuu yaani TV ipo kwenye kundi la vitu kodi kubwa au fridge ndio maana tupo busy na used tukiamini ndio bora zaidi kumbe hivyo used vipo vipya vyake na matoleo mapya...Kwa kiasi kikubwa upo sahihi ila bado naongelea suala la kuwa na kipato kidogo.
Tuchukulie mfano wa kawaida hizi flagship smartphones kama Iphones na Samsung. Bei zinaanzia 3M, watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua kwenye hizo bei? Hata ishuke mpaka 2.5M, bado wengi hawamudu.
Ndio maana ni rahisi kwa mfanyabiashara kuleta vitu vya grade ya chini kwasababu anajua akileta grade ya kwanza watu hawana uwezo wa kununua.
Ukija kwenye magari ndo kabisa, hata kodi iondolewe kabisa, still watu hatuna uwezo wa kuvuta gari mpya kabisa au za miaka ya karibuni manake hata hiyo CIF yake haishikiki.
Ingawa Sina gari........ila Mfortuner mzuriBila kupepesa macho chukua Fortuner D4D manual Diesel.
Blanget hili lenye material ya sheep matoleo ya sasa hivi kwa jumla yanauzwa rand 400 mpaka 450 kwa moja kama Tsh 64,000 hilo blanget hapa unauza laki na nusu na wananunua maana ni mazuri sana kwa tofauti hiyo ya bei unasema watu hawana kipato cha kununua bidhaa nzuri ukienda kwenye TV hizo bei zilizopo sio bei yake ila watu wananunua tu kwa sababu hakuna jinsi vilivyopo ndio hivyo na bei ndio hizo hapo Lilongwe tuu TV inch 42 zilikua zinauzwa kama Tsh 450,000 iwe Sumsung au Lg mimi nikisahau kununua SA hata pale nanunua maana wana kodi ndogo na bidhaa zipo bei nafuu ukija kwenye magari Malawi na Zambia maroli kodi haizidi milioni kumi sasa hivi Watanzania wengi wanaingiza kwa kupitia hizo Nchi na kusajiri zinafanya kazi nchi za Kusini...Kwa kiasi kikubwa upo sahihi ila bado naongelea suala la kuwa na kipato kidogo.
Tuchukulie mfano wa kawaida hizi flagship smartphones kama Iphones na Samsung. Bei zinaanzia 3M, watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua kwenye hizo bei? Hata ishuke mpaka 2.5M, bado wengi hawamudu.
Ndio maana ni rahisi kwa mfanyabiashara kuleta vitu vya grade ya chini kwasababu anajua akileta grade ya kwanza watu hawana uwezo wa kununua.
Ukija kwenye magari ndo kabisa, hata kodi iondolewe kabisa, still watu hatuna uwezo wa kuvuta gari mpya kabisa au za miaka ya karibuni manake hata hiyo CIF yake haishikiki.
You mean diesel fueled vehicles are durable? Didn't know this.Diesel ndio yenyewe in terms of good fuel consumption bila kusahau durability
Now u knowYou mean diesel fueled vehicles are durable? Didn't know this.
Hongera mkuu.JF magari, habari?
Heri ya mwaka mpya wakuu.
Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia)
Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner.
Gari zote ni angalau kuanzia 2011.
Naomba maoni yenu wakuu, nivute chuma gani hapo?
Ahsante.
Nashukuru ntakuletea gari nzuri sana Mkuu tuombe uzima tuu..Shukrani sana
Nadhani nitakupa kazi one day uniletee chombo tz
Hujawahi kuwa sawa humu kuna watu natamani niwaone nifurahi na wewe upo kwenye hiyo list😂😂😂Toyota Stout
Hongera mkuu.
Nakupa Hongera zaidi na zaidi.
Naweza kukushauri kitu kizito mno.
Usinunue gari ya kutembelea kwa sasa hapa namaanisha ongeza muda wa kuja kununua gari kama 2024.
Then pesa uliyopa nunua nyumba I mean nyumba iliyokamilika kabisa then uirekebishe kidogo then iweke sokoni uiuze .
Mf upo na 30m kwa ajili ya gari tumia 27m kwa ununuzi wa nyumba na 3m ya marekebisho .
Then ishi vizuri na MADALALI lazima utapata mteja tu.
Na pia unaweza Ipangisha ili kupata kodi hakika hayo yatakuwa mwanzo mzuri wa kuelekea uzee .
Ishu ya gari nakupongeza kwa kufikia Uwamuzi wako.
SureNow u know
Hizi bei unazitoa wapi wewe Bwana hv mbona mnapenda Tiana habari za uongoTiguan 2011 andaa kuanzia 32M+
Toureg 2011 andaa kuanzia 50M+
Q5 2011 andaa kuanzia 55M+
Fortuner 2011 andaa kuanzia 85M+
Gharama zote alizoweka ni za utopolo huyo atakuwa dalali anampanga mtu. Kodi ya hizo gari kama tuseme q5 ni 20m yenyewe kama 15mHiyo gharama uliyoweka kwa 2011 fortuner ni kubwa sana maana ya kuanzia 2017 kuja miaka ya karibuni ni kuanzia Rand 400,000 mpaka Rand 600,000 sawa na 72m kuendelea na hiyo ni 2.4 GD 6 diesel hizi auto au manual...fortuner ni moja ya gari ikiwa ya muda mrefu kidogo thamani yake huko kwenye manunuzi inashuka sana ukizunguka Johannesburg unaweza ukapata ya rand 100,000 sawa na 16m za kitanzania ikiwa ya SADC unalipa kodi tofauti na Japan itapungua zaidi...
Mkuu ulishafanikisha?JF magari, habari?
Heri ya mwaka mpya wakuu.
Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia)
Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner.
Gari zote ni angalau kuanzia 2011.
Naomba maoni yenu wakuu, nivute chuma gani hapo?
Ahsante.