Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

🤣🤣🤣

Ajiandae
IMG_20220105_213813.jpg

Natilia mkazo tu wa hii vita😆
 
Tiguan 2011 andaa kuanzia 32M+
Toureg 2011 andaa kuanzia 50M+
Q5 2011 andaa kuanzia 55M+
Fortuner 2011 andaa kuanzia 85M+
Hiyo gharama uliyoweka kwa 2011 fortuner ni kubwa sana maana ya kuanzia 2017 kuja miaka ya karibuni ni kuanzia Rand 400,000 mpaka Rand 600,000 sawa na 72m kuendelea na hiyo ni 2.4 GD 6 diesel hizi auto au manual...fortuner ni moja ya gari ikiwa ya muda mrefu kidogo thamani yake huko kwenye manunuzi inashuka sana ukizunguka Johannesburg unaweza ukapata ya rand 100,000 sawa na 16m za kitanzania ikiwa ya SADC unalipa kodi tofauti na Japan itapungua zaidi...
 
Haya maswali ya Wabongo kuhusu kununua magari usipoangalia unaweza kufikiri ni serious buyer, kumbe hapo mtu anaongelea gari ya umri wa miaka 15 au zaidi.

Sasa hapo unataka ushauri gani wa maana ? Gari zote zikishapita Kilometa 200 000- 300 000 zinaanza kuchoka karibia kila kitu, hivyo hakuna tofauti kubwa kiivyo kwenye gari mzee, zote shida tu!
 
Back
Top Bottom