Je, nirudi home kuchukua mke au nitafute mwenza hukuhuku ughaibuni?

Je, nirudi home kuchukua mke au nitafute mwenza hukuhuku ughaibuni?

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
165
Reaction score
450
Wakuu niliwaambia kuwa nasafiri lakini mpenzi wangu aligoma kuja nami na ukawa mwisho wa mapenzi yetu kwa kuwa mbali na kuwa alikuwa hataki kuja ughaibuni, pia alikuwa anaona nitatafuta mtu wa mataifa haya ili kuendeleza uzao.

Nimeshafika ughaibuni(Kimsingi niko kwa Biden) nimekutana na wabongo na wengine watz. Na niliokutana nao wengi wana wapenzi wao waliokuja nao au kuwaleta kutoka nyumbani. Juzi kati nilikuwa nabonga na muafrika mmoja akaniambia kama unataka hao wa mataifa beba. Ila akawa ananipa shida alizozipata kwa kuwa na manzi wa mataifa. Huyu mwamba ameniambia atafunga ndoa muda si mrefu bna huyo manzi wake aliyemuacha nyumbani ili apate access ya kuja naye US.

Mimi nawaza nipige kazi halafu nirudi home mara moja kuchukua jiko ili nije nalo, au nikomae hukuhuku kutafuta majiko ya kitz au nichukue chochote kitakachotokea mbele yangu!. Kimsingi nahitaji sana kiumbe wa kupambana kujenga maisha huku.

Nasubiri mawazo yenu watu wema.
 
Usijali kiongoz....kuna aunt yangu yupo kwa babu ni wife material kabisa na huwa anatulia akiwa ugenini
Anakufaa kabisa.....ukirudi utaniambia nikuunganishe naye
 
Oa huko huko sisi hatuwezi kushinda njaaa
 
Cha msingi ukija usichukue dar pita Moja kwa moja hadi kondoa chukua mrangi wako Rudi nae kwa Biden
 
Cha msingi ukija usichukue dar pita Moja kwa moja hadi kondoa chukua mrangi wako Rudi nae kwa Biden
Kwanini Dar inaogopwa hivi? Mimi nimeishi Dar kwa miaka kadhaa, yes! Sikuwahi kuchukua mdaslam lakini sijawahi kuwaona tofauti
 
Back
Top Bottom