hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Kabla sijakuwa nilikuaga siamini kama mwanamke anaweza akawa na tundu π€£π€£Mwezi January hedhi ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona hedhi Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
labda ulimi wake uli sema Sana π π, uko poa lakini?π mbona kitambo sana alishasemaga ana kibamia, sasa nikawa namuuliza aliingiaje kwenye gridi ya taifa na kibamia ππ
Hahaha π haya bhnPunde si punde ntagombea urais
Kuna ana miezi mitatu mpaka sasa na akipima Hana mimbaPunguza mawazo Binti mambo ya kawaida haya
π, Niko poalabda ulimi wake uli sema Sana π π, uko poa lakini?