Je, njia ya kufunga uzazi kwa Mwanaume inapunguza nguvu za kiume?

Je, njia ya kufunga uzazi kwa Mwanaume inapunguza nguvu za kiume?

Nanunda

Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
9
Reaction score
5
IMG-20260212-WA0011.jpg
Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua.

Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya kweli.

Wataalam wanasema “Njia ya kufunga uzazi kwa mwanaume (Vasectomy) haithiri nguvu za kiume wala hamu katika tendo la kujamiana, njia hii hufanya kazi ya kuzuia mimba.”
 
Back
Top Bottom