Hakika wewe utakuwa mhasibu hizo ndizo lugha zenu, bado hapo huyo anaweza kuwa yuko kwenye hasara kubwa, kuna vitu vingi tu vya kuangalia kabla ili kujua ni faida au hasara sio tu MONEY TERMS , kuna rate of capital gain , kuna Inflation rate, na mengine pia
Mfano aliuza Mahindi magunia 200 kupata hiyo $250k leo hizo gunia 200 thamani yake ni $1,500k anaamua kuuza kwa hiyo bei $1000k , Je akiamua kununua gunia zake za mahindi atapata ngapi ?atakuwa na faida au Hasara ?
Wasanii wetu wakiona hili bandiko hawatalikubali maana wao wanashindana kwa nyumba na magariSure...nyumba unajenga milion 80....kisha unapangisha laki mbili kwa mwez...kwa mwaka milion 2.4, kuirudisha hiyo 80milion yataka miaka kedekede kama miaka 33 hivi...na hapo hiyo ni mtaji uliowekeza sio faida.....na hapo bado unahitaji ukarabati...inakuwa imezeeka....pili hiyo hela haiwez kukaa tu hapo had kufika 80m....so mm binafsi huwa siamin kuchukua hela yako yote na kujenga nyumba eti asset....80milion unaweza fanya biashara kubwa na ukapata faida two times ndani ya miaka 2.
Otherwise kuwa na nyumba ya kuishi ni muhimu bt not kama ideology ilivyo kwa wabongo wengi kwamba ukiwa na nyumba ww ni tajiri..
Wadanganye wasanii sio wachumiNyumba bado ni asset kubwa na muhimu kuliko assets nyingine zote.
Mtoa mada Unahitaji kutambua nini maana ya asset. Kwa kukusaidia asset ni kitu kinacho generate pesa. Nyumba ya kuishi haijawai kuwa asset hata siku moja in accounting unless ni kama ya bihshara. Na kama ni ya bihashara unabidi ukumbuke kuwa any business has two sides. Loss and Profit.
Usibishe vitu usivyokuwa na uhakika navyo
Nadhani nyumba kama nyumbatu zinaweza fika zaidi ya 20 kwenye miji 3 tanzania ikiwemo Dar, na ni mmojawapo ya watu wanao pata hasara kubwa kwa baadhi ya nyumba zangu hasa kabla ya kupata haya maarifa,Mkuu, kwani wewe umewahi kumiliki nyumba?
Naona tuanzie hapo.
Bado ukweli utabaki pale pale ....Katika fixed assets zote nyumba inabaki kusimama kama most valuable asset.Mkuu kweli ni asset lakini pasipo bima, ni kujidanganya tu.
Leo hii hakuna mabenki yaliyokuwa yanayotegemea nyumba zilizowekwa kama dhamana ya mikopo huko Bukoba na sasa hayaamini kilichotokea?
Unajua maana ya "INFLATION" ? okay toa hilo neno "mahindi 200 bags" badala yake iwe ni "MISHAHARA YAKE 100"
kwa maana ya 250k ilikuwa sawa na mishahara yake 100, na kwa sasa mishahara hiyo 100 ni 1500k ,
Unaweza kufafanua zaidi hicho unachokiamini?Wadanganye wasanii sio wachumi
Nadhani nyumba kama nyumbatu zinaweza fika zaidi ya 20 kwenye miji 3 tanzania ikiwemo Dar, na ni mmojawapo ya watu wanao pata hasara kubwa kwa baadhi ya nyumba zangu hasa kabla ya kupata haya maarifa,
Shukran sana kwa swali lako zuri naomba uulize tena lingine kwa faida ya woote
Hivi ndivyo wafanyakazi husikika wakidanganyana maofisini baada ya akili zao kukosa mwelekeo wa uwekezaji.Miongoni mwa assets muhimu ni makazi ya uhakika wewe na familia yako. Nyumba kukulipa sio lazima iwe in terms of direct monetary earnings. Fikiria ungelipa kiasi gani kuisitiri familia yako sio tu kwa makazi lakini na kero nyingine za kupanga.
Sasa mimi similiki nyumba ishirini wala 10.
Nna nyumba tatu tu kwa sasa katika maeneo Prime.
Ila nyumba mbili kati ya hizo zimejengwa na hiyo nyumba ya kwanza na ni strategy yangu ya investment ndiyo imenifikisha hapo.
Nyumba ya kwanza nilinunua miaka ya 90s kwa about 13M na sasa ina value ya 300.
Ila nyumba hiyo imetumika kwa mikopo benki kujenga hizo mbili.
Lakini nyumba zote hizo tatu zina bima, ni za urithi kwa watoto nikifa na pia ni baadhi ya assets nilizo nazo.
Hongera sana nakubaliana na ww 100% kumbuka thamani ya nyumba baadhi ya maeneo tena yaliyo mengi DAR zina panda sana kuliko popote TZ na tena masoko yake kwa maana kodi inapanda hivyo hivyo, kwa hiyo ninacho kiongelea kwanko huwezi amini, lakini pia ukinipa mwaka halisi ulionunua hiyo nymb yako 90s 13m na sasa unaona imepanda hadi 300 mln je jiulize tu 13m ya 1992 ni sawa kweli na 13m 2016 ? kitaalam unaweza kuta hiyo 13m sasa ni sawa na 800 mlnSasa mimi similiki nyumba ishirini wala 10.
Nna nyumba tatu tu kwa sasa katika maeneo Prime.
Ila nyumba mbili kati ya hizo zimejengwa na hiyo nyumba ya kwanza na ni strategy yangu ya investment ndiyo imenifikisha hapo.
Nyumba ya kwanza nilinunua miaka ya 90s kwa about 13M na sasa ina value ya 300.
Ila nyumba hiyo imetumika kwa mikopo benki kujenga hizo mbili.
Lakini nyumba zote hizo tatu zina bima, ni za urithi kwa watoto nikifa na pia ni baadhi ya assets nilizo nazo.
VitajeIli uiite nyumba yako ni asset lazima ujiulize inakuzalishia kitu gani kwa mwaka na thamani yake ya kuiuza kwa haraka ni kiasi gani kulingana na gharama za kuipata hiyo nyumba.
Kwa hiyo swali la msingi tu, ni kwamba watu wengi wamepigwa upofu na kuamini kwamba nyumba ni asset akati sio hivo.
Kuna vitu ni quality asset kuliko nyumba
Kwan thamani ya nyumba ndo itakuwa ile ile? Kwan ukiuza nyumba after 10yrs bado itakuwa milioni 80? Nyumba yaweza kuwa outdated kama baadhi ya nyumba pale kariakoo, lakin thaman ya kiwanja itaendelea kuwa kubwa daima. Kubali tu kuwa assumptions zako hazikuwa sahihi. Hatupo mahakamani ambapo ukikiri unafungwa.kwani hiyo 80 mln ni ile ile miaka yoote ? ? ? kama kodi inapanda na uwekezaji wa hiyo nyumba nao lazima upande km kodi imepanda mara 2 yaani mfn toka 50,000 hadi 100,000 basi yawezekana kabisa thamani ya ile 80 mln kwa sasa ikawa 160 mln sasa linganisha hy kodi 100,000 kwa mtaji 160,000,000 unarudi kule kule 33yrs,,,, jamaa yuko sahihi cha kujifunza hapa ni nini maana ya mfumuko wa bei ktk uwekezaji INFLATION EFFECTS IN INVESTMENTS
Umejaribu kufafanua ila kuna sehemu inabidi nifafanue zaidi,Sure...nyumba unajenga milion 80....kisha unapangisha laki mbili kwa mwez...kwa mwaka milion 2.4, kuirudisha hiyo 80milion yataka miaka kedekede kama miaka 33 hivi...na hapo hiyo ni mtaji uliowekeza sio faida.....na hapo bado unahitaji ukarabati...inakuwa imezeeka....pili hiyo hela haiwez kukaa tu hapo had kufika 80m....so mm binafsi huwa siamin kuchukua hela yako yote na kujenga nyumba eti asset....80milion unaweza fanya biashara kubwa na ukapata faida two times ndani ya miaka 2.
Otherwise kuwa na nyumba ya kuishi ni muhimu bt not kama ideology ilivyo kwa wabongo wengi kwamba ukiwa na nyumba ww ni tajiri..
Hongera sana nakubaliana na ww 100% kumbuka thamani ya nyumba baadhi ya maeneo tena yaliyo mengi DAR zina panda sana kuliko popote TZ na tena masoko yake kwa maana kodi inapanda hivyo hivyo, kwa hiyo ninacho kiongelea kwanko huwezi amini, lakini pia ukinipa mwaka halisi ulionunua hiyo nymb yako 90s 13m na sasa unaona imepanda hadi 300 mln je jiulize tu 13m ya 1992 ni sawa kweli na 13m 2016 ? kitaalam unaweza kuta hiyo 13m sasa ni sawa na 800 mln
kwa sababu ya mfumuko wa bei
shida yako unatakaga ujifanye una akili sanaAsset kubwa ya binadamu ni akili yake.