Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Hakika wewe utakuwa mhasibu hizo ndizo lugha zenu, bado hapo huyo anaweza kuwa yuko kwenye hasara kubwa, kuna vitu vingi tu vya kuangalia kabla ili kujua ni faida au hasara sio tu MONEY TERMS , kuna rate of capital gain , kuna Inflation rate, na mengine pia
Mfano aliuza Mahindi magunia 200 kupata hiyo $250k leo hizo gunia 200 thamani yake ni $1,500k anaamua kuuza kwa hiyo bei $1000k , Je akiamua kununua gunia zake za mahindi atapata ngapi ?atakuwa na faida au Hasara ?
Mkuu, kwani wewe umewahi kumiliki nyumba?
Naona tuanzie hapo.