Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

MAMBO ni hivi[emoji91][emoji91][emoji91]na hao viumbe uwasikie KWA jirani tu
 
Msiwape hype sana hao watoto... Nguvu itakayotumika kuwakabili itawafanya mrudi tena hapa kulia lia na kutia huruma kwamba geshi ra polisi linatumia nguvu kubwa sana.

Mjue mnatumika tu hapa, ili kuwasafishia njia waanze kuwafyeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ni fedheha kwa jeshi letu la polisi lililokuwa well trained kwa ulinzi wa Raia kuruhusu hizi Gangs kuendelea ku run the town
 
Mkuu, hadi wewe na kitambi chote hicho ukachana mbuga! Sipati picha hiyo miguu [emoji23][emoji23]
 
Vijana wanatest mitambo baada ya mwamba kuondoka, yaani kwa takataka kama hii ilitakiwa sauti ya mwanamme inasikika kwenye redio au tv ikitamka maneno machache tu!.
Rais jana anaongea NAOMBA MAMLAKA HUSIKA MFANYIE KAZI... unaomba?? Bullshit kabisa... yuko bize na royo tua
 
Kwanini tuna Serikali, polisi, jeshi, usalama wa taifa kuwalinda Watanzania wote?

Vijana 30 wasumbue na kusimamisha kipato, kazi, maduka ya watu shughuli zao. Wote inabidi wakae nyumbani.
Kazi ya police ni kuokota maiti na sio kupambana na panya road, mnashindwa vipi kuwamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…