Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Lazima anauliza…..ni aje chali yangu hii ma aina aina…..?…..Halafu Kule kwa mbaali naona wanaume wa mkoani wakishangaa,mmoja anamuuliza mwenzake hii Ni Nini arifu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima anauliza…..ni aje chali yangu hii ma aina aina…..?…..Halafu Kule kwa mbaali naona wanaume wa mkoani wakishangaa,mmoja anamuuliza mwenzake hii Ni Nini arifu?
😂😂😂kinachonichekesha ni huyo bro anayemshangaa msafisha kuchaJamani hawa panya roadi wanatufanya tusilale kwa amani huku Dar hawa watoto wameshindakana wanatufanya tusiwe na amani kabisaView attachment 2208577
Ni wewe mkuu, mimi nipo Dar na nina raha zote, nyinyi mliozoea kucheza karata na dada zenu ndio mtatishwa na panya road.Jamani hawa panya roadi wanatufanya tusilale kwa amani huku Dar hawa watoto wameshindakana wanatufanya tusiwe na amani kabisaView attachment 2208577