Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

ndo hvo kamanda
 
Hiyo miaka 9 si halisi. Mwakani tu hapa unaweza usinunue unga kwa bei unayonunulia leo.
ubwabwa na mahindi sinunui mkuu nina ghara. Najilimia pia nanunua nakuweka store
 
Binafsi napumulia kwenye masaa 24 mpaka Sasa
 
Aisee nilishajaribu sana bado bila bila tunasonga mbele hivyo hivyo kigumu
huenda ulikua unaendesha mambo mawil kwa mkupuo mkuu.
Pia badiri tu mfumo wako wa maisha.

Pia Kilimo kinahitaji mda na mtaji mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…