Je, picha rasmi ya Rais Samia Hassan (Hijab Nyekundu) ilizingatia "Soccer Diplomacy" baina ya Simba na Yanga?

Tuna Safari ndefu Sana Kama na hii Ni hoja ya kujadiliwa hapa, je , wakija wasio na Imani wakasema hakuwazingatia katika vazi Hilo tutasemaje hapo? Hii ndio jamii forum ya mnaojiita eti GREAT THINKERS
 
AFTER CONSIDERING ALL THE VARIABLES THE OUTCOME WAS A RED COLOURED HEAD DRESS.
 
Tuna Safari ndefu Sana Kama na hii Ni hoja ya kujadiliwa hapa, je , wakija wasio na Imani wakasema hakuwazingatia katika vazi Hilo tutasemaje hapo? Hii ndio jamii forum ya mnaojiita eti GREAT THINKERS
Imenishangaza sana pia
 
Watu bwana, hawaishi maneno watakuja wengine waseme inatumiwa na waganga!
 
Mbona hujasema habari ya carpet Nyekundu ambazo hutandikiwa wakuu mbalimbali kupita juu yake? Hiyo ni rangi ya mamlaka na siyo ya Simba. Yaani nyie utopolo mnataka kugomea mechi ya 3/7/2021 kwa sababu ya hijabu ya Rais! Nami kwanza aliwaambia nyie yanga mchague rangi ya mikosi ya CCM?
 
Mbona hata Chadema wanatumia rangi Nyekundu, kwani nao ni Simba? Mbona Mh. Mbowe ni Yanga damu?
 
Kwa akili hizi hii nchi ni ngumu sana kuendelea. Yaani unaangalia rangi kwa mustakabali wa ushabiki wenu wa kipuuzi? Sasa ni lini wanayanga itakuwa wakiumia wanatokwa damu ya njano? Au waanze kugomea na damu nyekundu pia wakitaka ya njano. Akili hizi ni za kuweza kuvukia barabara tu.

 
Ukiwa unatakiwa sasa utumie akili yako kuanzisha thread ndo unaandika uharo kama huu kweli? Kwa nini usiwe na subra kule kwenye group tukupe madini uje uandike huku JF mpaka unaamua kuandika uzi wa Kipumbavuh kama huu? Yaani unaleta mambo ya Simba na Yanga kwenye mavazi? Huu upumbavuh wa kiwango cha juu Sana. Kwa hiyo Sasa pia rais atahitaj Yellow Carpet? Uwe unasubiri tukupe cha kuandika. Tutaonekana wote ni vilaza sasa.
 
Hijab ya Zambarau itapendezesha zaidi. Zanzibar oyee.
 
Mods kwa kuangalia maslahi ya infrant soldier kijana wetu Basi tunaomba hi thread ifutwe kwa sababu tumegundua mtoa maada hakujua maana ya rangi nyenkunhmdu katika masuala ya uongozi na itifaki zake
 
Rangi Nyekundu symbolically ni Power ndio mana Retired Presidents almost wote kasoro nyerere kwenye official picha zao wamevaa Tai nyekundu
 
Gudume katika ubora wake nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…