Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Yeye ni whistle blower...
Zake ni chache!
 
We are Not Safe, Things are Going out of Hands . Though I hate Mob Actions
 
Kuna wakati unabaki mdomo wazi ukijiuliza, tatizo liko wapi. Je, tunaajili wa-TZ wenzetu kuingia majeshini baada ya kuwaona ni watu wenye uwezo mdogo wa kufanyakazi zenye kuhitaji umakini? Ilitokea hivyo ktk sekta ya ualimu na leo hii tunajuta. Najitafakari binafsi kwa kazi yangu ndogo niliyonayo na kujiuliza kama nikiwa mzembe kiasi hiki, je, kweli nitatoa majibu ya kijinga kama hayo kwamba ni bahati mbaya?

Hakika ukiwa askari nadhani kuna kiburi kinajijenga, lakini ni kujishau kwamba hata wao wanahitajika kwenda hospitali, wanahitajika kusomesha watoto, wanahitajika kwenda sokoni, nk. Kushika silaha haistahili iwe ni kinga na kutafuta heshima za mauaji kiasi hiki.
 
Pumbavu kabisa
Umesikia tukio lilitokea wapi?
Who the hell are you kuhoji maisha ya mtu?
Wapumbavu wote walio like post hii
Unazungumza sababu aliyeuwawa si ndugu yako
Inasikitisha sana kuona wapumbavu kama wewe mpo JF
Swqli
 
Who is safe here?
Personally, am not safe....how about you?
For lack of foresight there are two people who stupidly believe they are safe. They think they are above the law completely oblivious to the fact that the day of reckoning is fast approaching. Sizonje and his protégé Bashite, you might have an upper hand now but so did Adolf Hitler and his henchmen...it is just a matter of time.
 
Kuna baadhi ya watu katika Nchi hii kila kitu wanataka kukigeuza ni siasa.

Hivi huwezi kufanya kazi na kupata income yako pasipo majungu?

Embu tufanye kazi tuishi na familia zetu vizuri, tuache kulalamika hovyo kwa mambo ambayo hatuyajui bali tunahisi tu.
 
huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?

Kuwa muelewa wewe si umeambiwa alikuwa ndani ya daladala wakati askari ana mshoot
....uwe unasoma kwanza ukaelewa ndipo u comment
 
Damu ya Aquilina iko juu ya Murilo na Mambosasa, kwa kuwa wamepewa bunduki na mabomu basi wanatamani tu kufyatua-fyatua kwenye makundi ya raia, hawajiulizi what if, hawatumii busara, kwa kuwa wana bunduki na virungu basi wanatamani tu kuvitumia hata pasipo na ulazima.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…