We jamaa huwa mnafiki sana, Ashakufa huyo, na hapo hakuna kesi maana ni risasi moja imempata, wameshikiliwa Askar 6.....wakuwatupia lawama ni chama la ovyo Chadema,,, maandamano yao yamepelekea tumpoteze huyo binti, Bila kuandamana kwao yasingetokea,,
Nawachukia sana waandamanaji leo hii mie sisikii vizuri,, nikiwahi kupigwa jiwe na waandamanaji nikapoteza fahamu, na mpak leo na matatizo.... Sijui kwann Risasi ile isingempata kiongozi yeyote wa lichama la ovyo. Imeenda kumpata mtoto asiyekuwa na hatia..