Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Pumzika kwa Amani wamekuwaisha mapema sana.
Haki ipo mbinguni. Duniani twatesana tu kwa kisa vyeo vya kisiasa. Wanasahau kuwa sisi ni watanzania ndugu moja. Wanapalilia hasira vifua vinawaka moto. Ole wake asababishaye haya laana iwe juu yake.
 
Rip Mwanafunzi,mkuu umenena vyema,ndugu Yangu Pascall,ameandika mengi mkwenye huu uzi na mengi ni ya kweli.Mkuu mwaka 97 nadhani nilikuwa Mombasa,sehemu moja inaitwa ukunda ambapo ni south coast,Kulitokea machafuko ya siasa kipindi kile,mida ya jioni risasi zilirindima sana mimi na ben Mtui,pamoja na watu nisiowafahamu tulienda kuangalia lile tukio,Ben Mtui hakurudi ulirudi mwili wake tu.Mimi ndio nilipeleka ripoti za msiba kwa ndugu na marafiki,alipigwa risasi ambayo haikukusudiwa kwenda kwake.kaka yake Elijah alihangaika na serikali kwa kosa hilo,lakini Ben Never came back to life.Swali nalojiuliza Tulifuata nini pale hadi Ben akauwawa?Tulikuwa na kazi gani pale wakati Polisi wanatekeleza majukumu yao?Aquilina hakupaswa kuwa pale,wazazi wake hawakumtuma kufanya kazi ile.Amewakosea wazazi wake.Risasi hazikupigwa chuoni,Hata kama polisi tutawalaumu lakini tuwe na utaratibu wa kukwepa maandamano yasiyo n VIBALI.
Umeandika mengi ila upumbavu mtupu na kujitoa akili. Huyu binti alikua kwenye daladala 'public transport' kama msafiri na pengine alikua anatoka chuoni. Acha kupotosha ukweli. Shame on you!
 
Mm sina hakika mafunzo ya police kama yanakidhi vigezo, hata mgambo hawawezi zuia ghasia kifala hivyo, watu hawana silaha, mnapiga risasi za moto? Police wanapiga za moto horizontal badala vertical, kama nia ni kutisha raia, IGP itama upya mafunzo unayowapa askari wako
 
Mpaka sasa naiwaza familia yake ....kama mimi nimeshindwa kuamini kilichotokea je familia yake ipo wakati gani ??
 
Umeandika mengi ila upumbavu mtupu na kujitoa akili. Huyu binti alikua kwenye daladala 'public transport' kama msafiri na pengine alikua anatoka chuoni. Acha kupotosha ukweli. Shame on you!
Kwa hiyo risasi imepenya kwenye daladala genius?basi ni bahati mbaya kweli.
 
Police wanatumia nguvu kubwa badala ya akili, hivi Kenya police wangetumia nguvu wakati Raila anajiapisha ingekuaje km si kuua watu, lakini Rais kenyata na mkuu wa majeshi walitumia akili sana, kwann hawa wetu hawajiongezi? Aibu kubwa sana Tanzania kila kukicha utekaji, mauaji,, halafu jibu rahisi tu, watu wasiojulikana
 
Hawa ni wapinzani wa serikali ya CCM,ambao wakati ule walikuwa watiifu,wakiwa na mapenzi na imani na serikali na nchi yao,je wakikusanyika hivi,na wakadai haki za kibinaadamu zinazovunjwa zikome,itakuwaje ?????. Ukawa Huu ni wakati wa kuitisha milions march dar,Kwa maombolezi ya waliotekwa,kuuwawa na uvunjwaji wa haki za binaadamu.
Historia zinajionesha wazi,ukandamizaji haudumu,kulikuwa hakuna sababu ya kutumia mbinu hizi,kwa watanzania wengi,waliokuwa wakiipenda nchi Yao,demokrasia ni Kwa akili ya maendeleo,sio ukandamizaji wa haki za binaadamu.
 

Attachments

  • IMG_0878.JPG
    IMG_0878.JPG
    34.8 KB · Views: 41
  • IMG_0879.JPG
    IMG_0879.JPG
    69 KB · Views: 39
  • IMG_0880.JPG
    IMG_0880.JPG
    33.4 KB · Views: 39
  • IMG_0881.JPG
    IMG_0881.JPG
    44.4 KB · Views: 41
Nimeona chadema wakilalama mitandaoni kuhusiana na madhara yanayotokana na vurugu za wanasiasa kipindi huki cha uchaguzi. Upuuzi mtupu. Nimewaona akina Malisa, Kilewo na wengine, hawa ni wapuuzi wa kupuuzwa.Huwezi kudharau Mamlaka kiasi hiho ukaachwa salama. Wanasiasa wabebe lawama na siyo vinginevyo
 
Kutumia silaha za moto kwa waandamanaji wasiokua hata silaha ni kinyume kisheria pia na haki za binadamu.
Toka kuingia kwa Sizonje madarakani amekua na tamaduni kufanya mauji mbalimbali pia kudhuru watu na kuteka.
Kupigwa kwa mheshimiwa Lissu jirani na nyumba naibu spika na walinzi wa serikali muda wote wapo badaye walitoa CCTV camera na kukana wachunguzi huru toka nje.
Juzi kinondoni kafa kiongozi wa CHADEMA.
Ben saa 8 na mwandishi wa habari za kichunguzi wa mwananchi hawajulikani walipo.
Maiti kila mala zinaokotwa fukweni na serikali ipo kimya.
Amekili mala nyingi kuwa yeye hajaribiwi na mtu akileta fyokofyo anamshughulikia.
Amejigeuza mungu mtu wapinzani chukueni hatua kulia lia hakusadii sasa tukomeshe udikteta huu.
 
Hawa ni wapinzani wa serikali ya CCM,ambao wakati ule walikuwa watiifu,wakiwa na mapenzi na imani na serikali na nchi yao,je wakikusanyika hivi,na wakadai haki za kibinaadamu zinazovunjwa zikome,itakuwaje ?????. Ukawa Huu ni wakati wa kuitisha milions march dar,Kwa maombolezi ya waliotekwa,kuuwawa na uvunjwaji wa haki za binaadamu.
Historia zinajionesha wazi,ukandamizaji haudumu,kulikuwa hakuna sababu ya kutumia mbinu hizi,kwa watanzania wengi,waliokuwa wakiipenda nchi Yao,demokrasia ni Kwa akili ya maendeleo,sio ukandamizaji wa haki za binaadamu.
aaaa
 
Hayo mashtaka yafanyike Tanzania hii hii katika utawala huu huu au nchini Kenya?

Paskali, usijitie upofu wala kujitoa ufahamu; ujumbe unaotumwa na utawala huu mara zote NI VERY CLEAR. Wote wenye akili tunaujua ujumbe huo.
 
Back
Top Bottom