Suala anasoma wapi halina mashiko sana.Kilichopo ni kuwa kauwawa kwa uzembe wa watu Fulani tena bila hatiaMleta uzi leta habari toka vyanzo vya uhakika sio kutoa kwa akina mange,unajipunguzia heshima,umesema aliuwawa ni mwanachuo wa UDSM wakati ni wa kutoka NIT![]()
Wewe hujielewi hatakidogo huyu Dada alikua kwenye daladala nyambavhuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Kweli kabisa au inawezekana ndo alopiga risasi randomly.Kauli inaweza kutolewa na mbwa na si binadamu
Akili ni msamiati kwako.NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Husikii hata hati zenyewe wamepewa feki .Uliza taratibu zilifuatwa mpaka hapo ilikuwa no way out.Inamaana bila kukusanya watu na kuandamana wasingepewa hizo hati?viongozi wenyewe hawatoshi?mbona watoto wao hawakuwepo kwenye maandamano?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Akili zenu ndivyo zilivyo risasi imepigwa na polisi chadema ndio wawajibishwe hakika CCM ni kizazi cha laana.R.I.P
Poleni wafiwa
Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..
Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.
NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
Mdomo sharp kuliko kichwa. Tafuta taarifa kabla hujaropoka kwa kejeli kwa kuwa tu hayajakukuta wewe.huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Mimi kama mwanamke nina uchungu nae sana!
Laana ni kwa hao wanaowapandisha jazba na wakijua wazi matokeo yake ni nini!
Na ndiyo maana nasisitiza watu kuwa waangalifu kwenye matukio kama haya. Katika nyuzi zangu zote nasisitiza maisha kwanza!
Sasa hao wanao ndio wako mashakani maana mtu huvuna analo lipanda na inaitwa KARMA!
Umeipenda itakufuata mpaka nyumbani mwako!
KARMA HAICHAGUI IT SAVES YOU WHAT YOU DESERVE!
Laana hiyo hakika albadiri inafanya kazi yakeHakuna dala dala litakalopita katika vurugu
Katika sheria zote,ama ziwe za kileberal(kidunia)au za kidini,ni kosa kubwa kudhulumu roho ya mtu,bila ya kuwa na sababu,sababu kama self defence,litataka pawepo na uthibitisho wa kutosha,utakaopelekea kuchukua hatua hiyo,ya kumshambulia mtu hadi kumpotezea maisha,laana hii inawaingiza katika makosa washiriki wote,kuanzia,wachangiaji,wapangaji na watekelezaji.NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
kwahiyo kibaka apigwe risasi. CCM bana ni zao la shetani.Unajua kulikuwa na vibaka wangapi,unajua ni nani alikuwa anaandamana kwa dhati,unajua ni yupi alikuwa chadema na yupi hakuwa chadema......!? Haya mambo lazima uangalie kwa kubalance