kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,198
Punguza mhemuko afu fuatilia taarifa kwa umakin then commenthuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Huyo mwanafunzi hakuwa kwenye maandamano ila alikuwa kwenye dala dala pamoja na wananchi wengine ambao walikuwa wakirudi zao makwao . baada ya uzembe wa polisi kufyatua risasi ovyo ili kuwatawanya wananchi waliokuwa wana andamana . ile risasi ilienda kupiga kwenye hiyo daladala na kujikuta imempata huyo binti ambapo abiria wote pamoja na dereva walilazimika kukimbia .
Swali la kujiuliza hiv IGP na viongozi wa wengine wa serikali ni kuwa wanatamani sana kutuletea machafuko kwa mambo yao ya kipuuzi . kwanin wamegoma kutoa hizo fomu, kwanin polisi watumie nguvu nyingi kiasi hicho
Kitendo hiki kwa mtanzania yoyote mwenye akili timamu na mzalendo hakikubalik na sio tabia yetu .( ukiacha wale vichaa wana support kila kitu hata haya mauaji wapo matahira watasema polis wapo sahihi)
R.I.P Mwanachuo