Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

R.I.P
Poleni wafiwa

Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..

Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia
Wewe unajuwa ethics ya polisi ktk kuzuwia vurugu?Unaongea ongea tu upuuzi.Je kulikuwa na sababu ya kuwalenga watu wasio na silaha?
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Anga zao ni zipi na nini?Kama unasafiri kwenye dala dala risasi inakupata,hizo anga zao ni zipi uzikwepe ukiwa kwenye dala dala???!!!!!Laiti ningekuwa kijana,nisingekubali kuishi kizembe nikiona haya yanatokea katika nchi yangu..Hakuna heshima wala furaha kwa kijana na kujisifu mwanaume huku warembo wetu wanauwawa pasipo hatia..
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Acha upumbavu binadamu wewe kama huyo mkurugenzi angewajibika ipasavyo unafikiri madhira hayo yangetokea?
Natamani kukihitaji kichwa cha huyo mkurugenzi.
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Stupid!...wanahakikisha amani kwa kurusha risasi hovyo?, ndio walivyofundishwa?....kulikuwa na ulazima gani was kurusha risasi za moto kwa wananchi wasio na silaha yoyote!..."kiu ya kumwaga damu" ili kulinda wenye tamaa ya madaraka. OVA
 
Yani Police wa Tz waajabu sana wanaangaika na serikali ambayo aiwajali kwa lolote toka mwaka juzi mishaara yao awajapandishiwa, vyeo awajapandishwa na makazi duni ila wanaona ni bora waue watanzania wenz tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengi wao ni wale waliopata division mbayambaya
Wanaongazana watu walio na IQ ya chini au ndogo
 
Ila sidhani km kweli kulikua na haja ya kutumia siraha za moto.Na km hao chadema wangepewa hizo barua za viapo hayo yasingekuwepo tufike mahari ukweli tuuseme tutaacha lini ubabe usio na maana
Hili jambo usiliangalie kwa macho mawili...!!Ni wangapi walikuwa wanaandamana kwa amani?ni wahalifu wangapi walikuwemo katka hayo maandamano?!...Bila hivyo uhalifu ambao ungetokea leo tungekuwa tunaongea mambo mengine zaidi ya haya...
 
Anga zao ni zipi na nini?Kama unasafiri kwenye dala dala risasi inakupata,hizo anga zao ni zipi uzikwepe ukiwa kwenye dala dala???!!!!!Laiti ningekuwa kijana,nisingekubali kuishi kizembe nikiona haya yanatokea katika nchi yangu..Hakuna heshima wala furaha kwa kijana na kujisifu mwanaume huku warembo wetu wanauwawa pasipo hatia..
Hivi kwa akili yako kwenye vurugu kama hilo kuna dala dala litapita?
 
..hivi Polisi walishashtakiwa kwa mauaji ya Daudi Mwangosi?

..naunga mkono Polisi kushtakiwa kwa uzembe na matumizi ya nguvu iliyopitiliza na kusababisha kifo cha Aqulina Akwilini Baftaha.

..R.I.P Aqulina.
Wakuwashitaki nani?Labda washitakiwe kijamii(mahusiano)
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Hivi kama mawakala wengepewa viapo vyao kwa mda muafaka haya yote yasinge tokea lakini kwa vile mnataka kulazimisha goli la mkono ndio madhara yake hayo
 
R.I.P
Poleni wafiwa

Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..

Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia
Ww jamaa nazan una matatizo sasa huyo mwanafunzi alikuwa kwenye dala dala anarudi zake home hajui chochote ile risasi imepiga dala dala na kwa akuwa alikuwa amekaa ndiyo hiyo risasi imempata ( kumbuka vurugu za polis na chadema zimetokea pale mkwajuni yaani pembeni ya rami tu kwahiyo daladala nyingi zilikuwa zinapita hapo) au siku hizi maandamano hufanyika kwenye gari
 
Mimi kama mwanamke nina uchungu nae sana!

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]. Uchungu?????? Unaandika kikada kada na ulumumba unasema Una uchungu??? Tena kwa herufi kubwa???
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
 
Back
Top Bottom