bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
Jamanii
Mkuu matukio kama hayo yanawakuta wasiojua kinachoendelea wapita njia mara nyingi...huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Kabla ya mbinguni wanatakiwa kuipata hapa hapa kwa ujinga wao wanatumiwa kama kondom wanaachwa baada yakaziBaada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
Hata hivyo yeye hakuwa sehemu ya msafara alikuwa kwenye dala dalahuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Mbwiga kweli wewe mikutano ya siasa inafanyika kwenye daladala siku hizihuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huu
![]()
Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?'
Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.
Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.
Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM),Aqulina Akwilini Baftaha
Hujui unachomanishaNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Huyo binti alivuruga amani gani..??NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Tutakuja na swali kama hili siku moja mwanao akiwa kwenye jenezahuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Wakitishiwa kidogo wananyamazaTanzania tunahitaji wanaharakati kama Okiya Omtata... Hawa wa kwetu wakina Kijo, Deus Kibamba washachoka.
Umeambiwa alikuwa safarini (kwenye daladala). Masasi yenu yakarushwa hovyohovyo yaani bila lengo maalum ndo mkamuua huyo binti.huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Hapana mkuu wana njia nyingi za kutuliza vurugu siyo lazima risasi za moto, ni upuuzi na ushenzi tu uliozoeleka TANZANIA mauaji kuwa sehemu ya maisha na watu kuona ni kawaida tu wakanyamaza nina uhakika ushenzi huu huwezi fanya kwa watu wanaojitambua kama kenyaNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Wa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponiDahhhh hivi kwa nn chaguzi zetu zimefika huku ni nani wa kulaumiwa km tumeamua kuuana bila hata sababu na hawa wanao uliwa bila sabab wakiamua wapambane tutakaa kwa aman .Hebu tuache kuchezea amani yetu Japan hii ni tanzania yetu sote.Tukumbuke hakuna utawala unaodumu milele mfano Roman empire waliwasumbua sana watu ila nao walikuja kukiona cha mtema kuni