Atakayepiga kura ni nani wakat wabunge wetu ni ndio mzeeeeeMimi naaza kuwa na wasiwasi inawezekana akawa anatumiwa na taifa jirani kuleta umwagaji damu katika Tanzania, Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa muda mrefu, inawezekana wanatuonea wivu kwa stability yetu, sasa wanamtumia jamaa alete umwagaji damu katika nchi yetu. Urafiki wake na Kagame unatia mashaka makubwa sana. And he simply does not care. we have to be vigilant with this guy, jicho la tatu linatakiwa ikiwezekana apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye.