Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

My thoughts and prayers to the family of the deceased.
We shall overcome this injustices
RIP Aquilina
Hatuna waziri wa mambo ya ndani
 
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
454a637916def479540d0fc946e0cc85.jpg

Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?.

Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.

Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waungilie, what did they stand to loose?. Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that!.

Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.

Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.

Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa kozi ya Procurement $ Logistics Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Aqulina Akwilini Baftaha, baada ya kufariki kwa dunia kwa kupigwa risasi iliyompata akiwa ndani ya basi la dala dala lililopita eneo la tukio.

Paskali

Eti wamesema ni bahati mbaya tu, mlengwa alikuwa ni Freeman Aikael Mbowe lakini risasi ikapoteza uelelekeo na kuingia ktk bus la daladala na kumpata sawia huyu binti shingoni....

Geshi letu linaomba radhi kwa makosa haya ya kiufundi na wananchi msikate tamaa, endeleeni kutoa ushirikiano wa "kizalendo" kwa Geshi lenu la "kuua" raia wasio na silaha kama huyu hasa hasa kwa kutoa taarifa za popote alipo aliyekusudiwa na risasi hiyo.

RIP Akwilina
 
mambo kama haya ndo yalinifanya nisijiunge na jeshi. yaani maisha yakupelekwa pelekwa kama ng'ombe huwa sipendi. if ningekuwa jeshini I swear 1day ningepindua watu flani. naimagine tu somebody ananiforce ni fanye mambo ya ajabu ajabu kama hayo. kuiba box za kura what f**k.
hawa police inafaa 1 day washikishe adabu.
 
mambo kama haya ndo yalinifanya nisijiunge na jeshi. yaani maisha yakupelekwa pelekwa kama ng'ombe huwa sipendi. if ningekuwa jeshini I swear 1day ningepindua watu flani. naimagine tu somebody ananiforce ni fanye mambo ya ajabu ajabu kama hayo. kuiba box za kura what f**k.
hawa police inafaa 1 day washikishe adabu.
 
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
454a637916def479540d0fc946e0cc85.jpg

Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?.

Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.

Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waungilie, what did they stand to loose?. Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that!.

Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.

Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.

Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa kozi ya Procurement $ Logistics Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Aqulina Akwilini Baftaha, baada ya kufariki kwa dunia kwa kupigwa risasi iliyompata akiwa ndani ya basi la dala dala lililopita eneo la tukio.

Paskali
Mkuu hakuna hatua yeyote inayoweza kuchukuliwa kwa mhusika aliyetenda kosa hili. Ingekuwa nchi yetu inajali utu wa mtanzania kuliko madaraka wangeanzia kwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, msimamizi aliyechelewesha hizo barua za utambulisho na kiapo halafu waje sasa kwa polisi. Lakini kwa sababu madaraka yana thamani kuliko utu wa mtanzania haitafanyika hivyo. Katiba ya nchi yetu inampa Mheshimiwa rais kuingilia maamuzi ya mahakama na hakuna wa kumhoji, kwa hiyo hata hao wazazi wakienda mahakamani hakuna hatua zozote zitakazochukuliwa na hata zikichukuliwa kwa mujibu wa sheria bado mkuu wa nchi anaweza kuingilia kwa maslahi ya chama chake au hata maslahi binafsi na hakuna wa kuhoji. Rejea tukio la Bashite na dc wa Meru.
 
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
454a637916def479540d0fc946e0cc85.jpg

Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?.

Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.

Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waungilie, what did they stand to loose?. Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that!.

Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.

Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.

Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa kozi ya Procurement $ Logistics Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Aqulina Akwilini Baftaha, baada ya kufariki kwa dunia kwa kupigwa risasi iliyompata akiwa ndani ya basi la dala dala lililopita eneo la tukio.

Paskali
Toka lini nchi za kiafrika zikajali maisha ya watu wake? Mtoto huyo maisha yake yamekatishwa kwa sababu za kijinga za serikali ya CCM kung'ang'ania madaraka wakati haipendwi. Kwanini haki iombwe? Kwanini mawakala wasipewe barua zao? Mbona CCM walipewa barua zao bila shida? Kwanini mawakala wa vyama hasa vya upinzani wanatolewa nje kwa masaa manne halafu wanarudishwa kwa barua hizo hizo mkurugenzi anayodai ni feki wakati alitoa yeye mwenyewe? Kwanini polisi wapige risasi za moto hovyo hovyo? HAKUNA HAKI KATIKA NCHI HII....YOTE YANAYOFANYWA NA SERIKALI NI COMEDY. Mtu anaingia kwenye kituo cha kura akisindikizwa na polisi halafu anaiba sanduku la kura halafu analirudisha baada ya nusu saa na upigaji na kuhesabu kura kunaendelea "as if nothing has happened" hilo halitokei sehemu yoyote si Somalia, Liberia au kokote duniani only in Tanzania. Mwanafunzi wa chuo ameuawa na polisi bila kosa,hata kama alikuwa ana kosa (sijui wenye mahaba na hiyo CCM watasemaje?) hakupaswa kutendewa hayo! Wengine wetu watatetea hayo mauaji kwa sababu dhamira zao zimekwisha haribika....angalau wajiulize je angekuwa ndugu yako..mwanao...dadako?
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Inasikitisha kwa binadamu kama wewe kuongea upumbavu kama huo. Huyo binti alijiingiza katika anga zao kivipi? Hakuwa kwenye mkutano...alikuwa na safari zake ndani ya daladala sasa wewe unaongea kwa kutumia utumbo wako. Kweli kama tuna watu kama wewe nchi yetu itahitaji miaka 3000 angalau tujaribu kufanana na wastaarabu wengine. Jina lako tu linaonyesha una tatizo kichwani tena siyo dogo.
 
Wewe unawashwa. Na utakazwa muda si mrefu. Maana ni wazi uko kwenye heat.
Mpumbavu huwa anatukana wakati wakutoa hoja,Kama una hoja pinga kwa hoja.Kukifanywa mashindano ya matusi bado utakuwa wa mwisho.Usilazimishe watu kufikiria kama unavyofikiria wewe.Watu wenye hekima na uweledi wa mambo hawashikiwi akili kama wewe.
 
Wahusika washtakiwe na haki itendeke juu ya kitendo hiki cha kinyama, kuna watu wana jifikiria kuwa wao ndio wenye haki peke yao ndani ya nchi hii.
Tanzania hii hii askari ashitakiwe wakati ukiua unapanda cheo na hasa umuue mfuasi wa chadema....[emoji23] [emoji23]
 
Baada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
MBINGUNI? mbıngunı kote huko malipo wanastahili hapa hapa
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Ni rahisi sana kutoa maoni kama hayo sbb aliekufa si ndugu yako,hebu vaa viatu vya wazazi wake,kaka zake,wadogo zake,ndugu zake,rafiki zake kwa ujumla then pata picha akiwa ni binti au dada yako asie na hatia kabisa kapigwa risasi amekufa hapo,hakuwa mwanasiasa,hakuwa anaandamana n.k ! Hapa kuna shida kidogo juu ya weledi na uwezo kichwani wa askari wetu,binafsi namuomba saaana rais wangu Magufuli kwenye hili asifumbe macho achukue hatua na atoe neno lake ili nchi ipone,Watu wengi wanaogopa kutoa maoni juu ya hili na mengine mengi yahusuyo polisi,mtu wa mwisho pekee wa kuiponya nchi kwa kauli yake ni Rais,inuka mheshimiwa utoe neno.
 
Back
Top Bottom