Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Kuandamana ni haki ya kikatiba. Lakini kuua raia ni kosa la jinai. Polisi mnayo kesi ya kujibu kwa kifo cha Aquilina.
 
Nakumbuka jumatano ya majivu wakati tunaanza kwaresma.. tulikuwa nae kanisani...
Tuliambiwa binadamu tu mavumbi na mavumbini tutarudi...nikitafakari ujumbe huu najiuliza hivi mbona binadamu tunakuwa na viburi kiasi hiki...chuki....roho mbaya...kutopenda kukosolewa...!!? Kupenda kutukuzwa...!? Kujiona Mungu watu...!?
 
Safari ya kuwafata wenzake karibu atakata tiketi
 
Wewe ni mpumbavu tu. Kama yule kamanda wa polisi ansyewashika akili ninyi wajinga. Na wewe tukana.
Mpumbavu huwa anatukana wakati wakutoa hoja,Kama una hoja pinga kwa hoja.Kukifanywa mashindano ya matusi bado utakuwa wa mwisho.Usilazimishe watu kufikiria kama unavyofikiria wewe.Watu wenye hekima na uweledi wa mambo hawashikiwi akili kama wewe.
 
Nashindwa kuandika kwa MAJONZI niliyokuwa nayo moyoni. Kweli wakati umefika wanainchi kuhoji mwenendo wa Serikali yetu na chama tawala:
Serikali iwajibike kwa hili.
Mkuu wa police wa nchi awajibike.
Mkuu wa police Dar awajibike.
Mkuu wa police Kinondoni awajibike

HAKUNA HAJA YA TUME...They are just buying time to cheat us.... enough is enough.
KUNA MUNGU mmoja ..sio wewe MUHESHIMIWA
 
MBOWE HACHOMOKI KWENYE HII ISSUE HATA MLETE UZI ELFU, DAMU YA AQULINA IKO JUU YA CHADEMA YOTE
 
Nashindwa kuandika kwa MAJONZI niliyokuwa nayo moyoni. Kweli wakati umefika wanainchi kuhoji mwenendo wa Serikali yetu na chama tawala:
Serikali iwajibike kwa hili.
Mkuu wa police wa nchi awajibike.
Mkuu wa police Dar awajibike.
Mkuu wa police Kinondoni awajibike

HAKUNA HAJA YA TUME...They are just buying time to cheat us.... enough is enough.
KUNA MUNGU mmoja ..sio wewe MUHESHIMIWA
Pole utamchoka peke yako. Unao ushaidi Rais aliagiza silaha za Moto zitumike?
 
Aliyepiga risasi ni Polisi wala hatukumchagua.
Ila Mbowe tulimchagua wenyewe
 
ENOUGH IS ENOUGH.

Nchi ni yetu sote.
Nashindwa kuandika kwa MAJONZI niliyokuwa nayo moyoni. Kweli wakati umefika wanainchi kuhoji mwenendo wa Serikali yetu na chama tawala:
Serikali iwajibike kwa hili.
Mkuu wa police wa nchi awajibike.
Mkuu wa police Dar awajibike.
Mkuu wa police Kinondoni awajibike

HAKUNA HAJA YA TUME...They are just buying time to cheat us.... enough is enough.
KUNA MUNGU mmoja ..sio wewe MUHESHIMIWA
 
Kuna mambo tunatamani tuige wenzetu lakini kwetu haiwezekani kwasababu watu wamependa sana Vyama kuliko uzalendo wa nchi yao
 
Pole utamchoka peke yako. Unao ushaidi Rais aliagiza silaha za Moto zitumike?
Hata kama hakuagiza yeye ni lazima akemee matendo kwa wananchi wake hawa kumchagua ashuhudie wakiuwawa
 
Amani iwe nanyi, nawaonya CCM na Police wenu acheni kuona watanzania wote ni mbumbumbu. Tangu nizaliwe sijapata kuona mtuhumiwa anajichunguza mwenyewe na kujihukumu.

Imefika wakati Police kuua Raia ni kitu cha kawaida mpaka leo nakumbuka mlivyomuua kikatili marehemu Daudi Mwangosi, juzi mmemuua binti mdogo asie na hatia kisha mnaitisha press conference mnasema eti mnafanya upelelezi; yaani mnajichunguza na kwamba mnawahoji police na mnawashikilia wafuasi 40 wa CHADEMA pia mnamtafuta Mbowe, hii cjaielewa ni nani hasa alifyatua risasi ni Mbowe, Polisi au CHADEMA?

Walioua wanajulikana mnawalinda na wale police sio wajinga inamaana walitumwa je nani alowatuma? Nilitegemea mumwajibishe alowatuma police kufyatua risasi sio kumtafuta Mbowe. Mbowe ndo alowatuma kufanya mlilofanya, je msimamizi wa uchaguzi angewapa CHADEMA viapo vyao mapema kama alivyowapa CCM haya yote yasingetokea.

Kwa hili la mauji lawama zote nawalaumu CCM, time ya uchaguzi na police mbegu mnayopanda ipo siku itamea na kutoa matunda ambayo itabidi muyavune maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Police na CCM acheni sarakasi damu za wanyonge zinawalilia kutoka ardhini mjitasimini mkatubu.

Mungu tunusuru Tanzania ni yetu zote sio Mali ya CCM
 
Back
Top Bottom